Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
acha ujinga duwanzi wee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifa kuu 3 za mdangaji.View attachment 2703043Habari za mda huu wakuu, Leo nimeamua kulileta suala Hili ili tupeane experience ya jinsi Gani unaweza kumtambua mdada kuwa ni mdangaji au Malaya. Kwa mimi binafsi huangalia vitu vifuatavyo,
1.nywele huwa Wana zibreach
2.huvaa vile viskin vya kubana, kirefu au kifupi
3.huvaa Yale masuruali ya kike mapana chin afu kati Yana bana au huwa mapana kiujimla
4.hupost pich za makalio iwe insta,fb nk
5.huwa wanavaa vkuku
6.hutoga pua.
7.sketi fupi
8.utakuta amesuk manywele marefuu Hadi magotini. Kwa mimi binafsi nikishaonaga dalili hizo huwa Moja Kwa Moja na jua huyu ni mdangaji, nyinyi wenzangu huchunguza nini ili kujiridhisha kuwa msichana anadanga?View attachment 2703048
Wadangaji gani wawe jf.
Wapo insta na telegram
Ni mitandao ya kupromote ngono angalau jf kwa asilimia chacheJF,Insta,FB,Twita yote ni mitandao ya kijamii na kwenye misafara ya mamba, kenge hawakosekani.
Ni mitandao ya kupromote ngono angalau jf kwa asilimia chache
Kpendz pndzen ila kilichsemw kweNy mada ni kwamb hivyo vitu vinaashiria, lakin si 100 percent ila tambua ukishaon mara dall izo tajwa ujue there is a big chance uyo dem n mdangajJamani, tusipendeze kisa tutaonekana wadangaji jamani...kubreach ni style pendwa ya wadada hadi waheshimiwa wanabreach nywele ,nao wanadanga? Kuvaa vikuku ni urembo kama urembo mwingine, sijui tight ni mavazi ya kawaida sana, mtoa mada unaishi jiji gani ?
Daah vingine vya uongo banaView attachment 2703043Habari za mda huu wakuu, Leo nimeamua kulileta suala Hili ili tupeane experience ya jinsi Gani unaweza kumtambua mdada kuwa ni mdangaji au Malaya. Kwa mimi binafsi huangalia vitu vifuatavyo,
1.nywele huwa Wana zibreach
2.huvaa vile viskin vya kubana, kirefu au kifupi
3.huvaa Yale masuruali ya kike mapana chin afu kati Yana bana au huwa mapana kiujimla
4.hupost pich za makalio iwe insta,fb nk
5.huwa wanavaa vkuku
6.hutoga pua.
7.sketi fupi
8.utakuta amesuk manywele marefuu Hadi magotini. Kwa mimi binafsi nikishaonaga dalili hizo huwa Moja Kwa Moja na jua huyu ni mdangaji, nyinyi wenzangu huchunguza nini ili kujiridhisha kuwa msichana anadanga?View attachment 2703048
Itakua ni yanga tu [emoji1][emoji1]Anapenda ushabiki wa timuu fulanii ivii za mpiraaa