Jinsi gani unaweza kumtambua mdada anae danga( mdangaji )?

Sifa kuu 3 za mdangaji.

1.Hayupo realistic na maisha yake.

2.Muonekano wake lazma awe na kucha kama jini,bleach kichwani,kipini puani, tatoo, vikuku miguuni,pete miguuni.

3. Lazma afosi kuwa na iphone ili asumbue snapchat, tiktok kujipost makalio mda wote.
 
Jamani, tusipendeze kisa tutaonekana wadangaji jamani...kubreach ni style pendwa ya wadada hadi waheshimiwa wanabreach nywele ,nao wanadanga? Kuvaa vikuku ni urembo kama urembo mwingine, sijui tight ni mavazi ya kawaida sana, mtoa mada unaishi jiji gani ?
 
Kpendz pndzen ila kilichsemw kweNy mada ni kwamb hivyo vitu vinaashiria, lakin si 100 percent ila tambua ukishaon mara dall izo tajwa ujue there is a big chance uyo dem n mdangaj
 
Daah vingine vya uongo bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…