mkuu napambana sana ila ushawai ona bondia anaingia ulingoni then anakung'utwa round zote 12? halafu ukute mapigano 5 mfululizo yaani round 60 non stop ni kipigo tuu! dogo kama anataka kufanya hii kitu aache kabisa.
Mpaka sasa bado sijaona mifano ina maana hamuachanagi tu ndoa gani hizo zisizoisha.
Hamjambo kisiwani?Salaam wakuu!
Rejea tena kichwa cha bandiko. Sio kama yamenikuta, la hasha. Nataka kujifunza tu, itaweza kuwafaa wengine pia.
Tafiti zinaonesha ongezeko la talaka baina ya wanandoa, hivyo basi sio mbaya kujielimisha na mambo yanayoendelea duniani.
Natanguliza shukrani.
Ncha Kali.
HahahaNamna gani pale Mzee!