alfanlully
New Member
- Nov 1, 2010
- 4
- 1
Hi guys.
Natumia brevis 2.5 ,,, inakula sana mafuta ,,, Swali la msaada: Is there any technique to reduce fuel consumption??! Pia kuongezeka kwa ulaji wa mafuta inachangiwa na nn hasa.
Ahsante.

Mipasho pelekea dada zako nyumbani.Swali langu dogo sana, kama siyo kunywa mafuta ulitaka linywe mchemsho?
Hizi mambo ulitakiwa kuzijua kabla hata hujanunua hilo jini
Inatumia kiwango gani (lita moja inaenda km ngapi)? Usije kuta ndio kiwango chake hiko unalinganisha na Vitz.Hi guys.
Natumia brevis 2.5 ,,, inakula sana mafuta ,,, Swali la msaada: Is there any technique to reduce fuel consumption??! Pia kuongezeka kwa ulaji wa mafuta inachangiwa na nn hasa.
Ahsante.
Inatumia kiwango gani (lita moja inaenda km ngapi)? Usije kuta ndio kiwango chake hiko unalinganisha na Vitz.
2.5l=cc 2500samahani kwa kuingilia mada hivi hii 2.5L au 3.5L inamaanisha nini?
Fanya hayaHi guys.
Natumia brevis 2.5 ,,, inakula sana mafuta ,,, Swali la msaada: Is there any technique to reduce fuel consumption??! Pia kuongezeka kwa ulaji wa mafuta inachangiwa na nn hasa.
Ahsante.
Acha dhambiMimi nafahamu technique mama ya kuzuia gari yoyote kula mafuta hata iwe na 5000 cc, Technique yenyewe ni KUPAKI GARI yaani haili hata kijiko kimoja.
Sio vizuri kumjibu mtu harshSwali langu dogo sana, kama siyo kunywa mafuta ulitaka linywe mchemsho?
Hizi mambo ulitakiwa kuzijua kabla hata hujanunua hilo jini
Ukubwa wa mashinesamahani kwa kuingilia mada hivi hii 2.5L au 3.5L inamaanisha nini?