Jinsi gani ya kupunguza fuel consumption

Jinsi gani ya kupunguza fuel consumption

alfanlully

New Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
4
Reaction score
1
Hi guys.
Natumia brevis 2.5 ,,, inakula sana mafuta ,,, Swali la msaada: Is there any technique to reduce fuel consumption??! Pia kuongezeka kwa ulaji wa mafuta inachangiwa na nn hasa.
Ahsante.
 
Hi guys.
Natumia brevis 2.5 ,,, inakula sana mafuta ,,, Swali la msaada: Is there any technique to reduce fuel consumption??! Pia kuongezeka kwa ulaji wa mafuta inachangiwa na nn hasa.
Ahsante.

Swali langu dogo sana, kama siyo kunywa mafuta ulitaka linywe mchemsho?
Hizi mambo ulitakiwa kuzijua kabla hata hujanunua hilo jini
 
Inawezekana ni namna ya uendeshaji wako mkuu, Angalia ukanyagaji wako wa mafuta, hakuna haja ya kuvuta sana mafuta wakati unajua ndani ya mita 20 Kuna tuta au kona. Pia unamaliza breki. Tembelea gia ndogo yani 1:1 engine gearbox ratio.
 
Hi guys.
Natumia brevis 2.5 ,,, inakula sana mafuta ,,, Swali la msaada: Is there any technique to reduce fuel consumption??! Pia kuongezeka kwa ulaji wa mafuta inachangiwa na nn hasa.
Ahsante.

Mimi nafahamu technique mama ya kuzuia gari yoyote kula mafuta hata iwe na 5000 cc, Technique yenyewe ni KUPAKI GARI yaani haili hata kijiko kimoja.
 
Vipi Alfanlully
Swali lako sio la jibu moja na pia linaibua maswali mengine, kw. mfn. Watumia oili na spark plug zipi, Size ya tire na/au 'maboresho/uharibifu' (modifications) zozote zilizofanywa pale.
Uendeshaji wako pia ni swala muhimu. Ukiwa na mguu mwepesi - engine rev counter chini ya 2000 na kupunguza matumizi ya kiyoyozi, utaona mabadiliko kuegemea unafuu bila shaka.
Kuna njia za kitaalam za kudhibiti unywaji pia lakini zinahusu engine/transmission and drivetrain management tune-up. Hapa mifumo ufanyiwa setting mpya kulingana na matumizi yako wewe binafsi kw. mfn. Ukiwa mkaazi wa mjini kati, warm-up cycle ufanyiwa reset ikawa nyingine, Transmission pia muhimu sana kw hii ndio upunguza mzigo kw engine.
Ningekushauri uanzie na kumakinika kwenye matimizi(driving habits) then matunzo(maintenance) kisha ukipenda ufanyie tuning.
Happy driving!
 
Nenda garage kuna mafundi wanabanaga hizo fuel pumps kwa hiyo hata ukikanyagia mafuta yanayoenda kuunguzwa yanakua machache, Ila gari yako itakosa nguvu na itakua nzito kuchanganya.
 
yafuatayo ni mambo yanayowwza kusababisha gar yako ile mafuta

uendeshaji wako nikimanisha unakanyagia sana ,

uchakavu wa gar ,
upepo mdogo kwenye matairi ,

kama unaibebesha mizigo pia inaweza kua 7bu ya kula
na mengneyo watakuja wataalam kukwambia
 
Tatizo ushazoea kupanda daladala gari yenye Cc 2500 inakuaje na high consumptiob hvo tafuta gar la saiz yako hzo achana nazo wengine wana 3.5L lakin hawalii kama wewe
 
samahani kwa kuingilia mada hivi hii 2.5L au 3.5L inamaanisha nini?
 
Hi guys.
Natumia brevis 2.5 ,,, inakula sana mafuta ,,, Swali la msaada: Is there any technique to reduce fuel consumption??! Pia kuongezeka kwa ulaji wa mafuta inachangiwa na nn hasa.
Ahsante.
Fanya haya
. service yako tumia genuine parts &lubricants
. kwa engine kubwa kama hiyo epuka kuweka mafuta ya elfu kumi
. usiwe mtu wa ma speed bila sababu
. unapo accelerate ongeza mafuta taratibu na punguza mwendo taratibu epuka kupanda na kushuka randomly
. usiwe mtu wa kutumia neutral gear kwenye foleni
Haya machache yatakusaidia kuokoa Lita kasha
Between 2.5 ni engine kubwa hasa kama sio vvt-i au vvt hivyo fuel consumption ni tofauti kabisa na engine ya 1.5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom