Jinsi gani ya Kusajli account brela?

Jinsi gani ya Kusajli account brela?

mwikwabejames

New Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
2
Reaction score
0
Jamani naomba kuliza kwa anaejua namna ya kuunda account ya online registration system anisaidie kwani nimefanya kila kinacho hitajika lakini sioni mafanikio.
 
Kwa anaejua namna ya kutengeneza account ya online registration naomba msaada maana nimejaribu kutengeneza imegoma na nimeiningiza kila kitu!
 
Kwa anaejua namna ya kutengeneza account ya online registration naomba msaada maana nimejaribu kutengeneza imegoma na nimeiningiza kila kitu!
Ukiwa na national id no na email kazi imeisha ingia ors brela then utaona maelezo ya kujisajil ukiclick watakutaka uweke no za id yako ukishaziweka hizo no then personal information zako zitaapia hapo na utaweka email ya simu na no yake kwisha kazi
 
Back
Top Bottom