mwikwabejames
New Member
- Jan 3, 2018
- 2
- 0
Jamani naomba kuliza kwa anaejua namna ya kuunda account ya online registration system anisaidie kwani nimefanya kila kinacho hitajika lakini sioni mafanikio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa na national id no na email kazi imeisha ingia ors brela then utaona maelezo ya kujisajil ukiclick watakutaka uweke no za id yako ukishaziweka hizo no then personal information zako zitaapia hapo na utaweka email ya simu na no yake kwisha kaziKwa anaejua namna ya kutengeneza account ya online registration naomba msaada maana nimejaribu kutengeneza imegoma na nimeiningiza kila kitu!