Jamani naomba kuliza kwa anaejua namna ya kuunda account ya online registration system anisaidie kwani nimefanya kila kinacho hitajika lakini sioni mafanikio.
Ukiwa na national id no na email kazi imeisha ingia ors brela then utaona maelezo ya kujisajil ukiclick watakutaka uweke no za id yako ukishaziweka hizo no then personal information zako zitaapia hapo na utaweka email ya simu na no yake kwisha kazi