Jinsi Harmonize anavyochezea vibuti, kweli Mapenzi si kuwa na mashine mkubwa

Umemsahau na binti wa kajala.....
 
Ulijuaje size ya mashine yake,aliwahi kukudinya
 
Hahahaa sio kwa kulinganishwa huko wcb nzima. Ila wanaume wa kimakonde pasua kichwa sana, sishangai harmo kuachwa, tunawawezaga wenyewe konde girls

Mnhh kumbe wewe mmakonde?..
Ndo mnasemaga 'kumnyima mtu kitu nimepewa bure na Mungu siwezi'..?

Mauno ya kimakonde unayo au mmakonde jina tu??
 
Mnhh kumbe wewe mmakonde?..
Ndo mnasemaga 'kumnyima mtu kitu nimepewa bure na Mungu siwezi'..?

Mauno ya kimakonde unayo au mmakonde jina tu??
kunnyima ntu kitu zambi bwana wewe...uno tunazaliwa nalo.
 
Mashine ni sawa na Msambwanda tu. Kama ni mkubwa lakini haufanyi kazi ni sawa na bure
 
Wanawake wanahitaji care zaidi na sio maumbile au pesa.
Simaanishi hivi havihitajika bali cha kwanza ni furaha.
Sarah amekimbizwa na tabia ya Harmo ya kutokuwa mwaminifu..careless
Mzee hilo pepa uliko lisoma karudie Literature review. Hapo kwenye pesa ondoa
 
Mnhh kumbe wewe mmakonde?..
Ndo mnasemaga 'kumnyima mtu kitu nimepewa bure na Mungu siwezi'..?

Mauno ya kimakonde unayo au mmakonde jina tu??
"kun'nyima ntu kitu angali unacho huogopi dhambi wewe!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…