Jinsi ilivyokuwa ibada ya kumuaga TB Joshua

Anita Kajembe

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2021
Posts
215
Reaction score
487
Prophet T.B. Joshua
Lying in State.

Earlier, there was a procession conveying the body of God’s servant from The SCOAN Prayer Mountain to the church auditorium at The SCOAN, Ikotun-Egbe, Lagos, Nigeria.

Peaceful indeed is the rest of a man who preached and acted nothing but love, humility, compassion and service to humanity in the mighty name of Jesus Christ!

Kama kufa alishakufa..Alikufa Yesu mwana wa Mungu na akazikwa muda huo huo itakua yeye? Kumzungusha marehemu siku zote hizo na kufufuka ndo haiwezekani. Muda mwingine na Admire mazishi ya wenzetu Muslims
 
Usiongee kitu ambacho hukijui huo ni utamaduni wa wanigeria wanakaa mbaka mwezi ni utamaduni wao, halafu kingine hakuna mtu aliyekushika mkono hamia dini hiyo unayotaka coz hulazimishwi mtuache na ukristo wetu kwakweli
 
Kama kufa alishakufa..Alikufa Yesu mwana wa Mungu na akazikwa muda huo huo itakua yeye? Kumzungusha marehemu siku zote hizo na kufufuka ndo haiwezekani. Muda mwingine na Admire mazishi ya wenzetu Muslims
Haiwezekani kuadmire iman kwa sababu ya tendo moja tuu. mimi si wezi hata siku moja nika admire mazishi ya dini nyingine kwa sababu ni kuadmire ibada pia
 
Kweli tb joshua alipendwa nimeona kila rangi ya watu msibani hapo, wachina, wakorea, wajapan, wazungu, wahindi na hata waarabu ni balaa mazishi ya heshima kweli kweli
Kifo ni kifo tu,uzikwe kwa heshima au kwa dharau,if gone ,gone only,kikubwa ni matendo yako tu.
 
Kumbe bado tu wanamtembeza marehemu kama naninii
 
Kama kufa alishakufa..Alikufa Yesu mwana wa Mungu na akazikwa muda huo huo itakua yeye? Kumzungusha marehemu siku zote hizo na kufufuka ndo haiwezekani. Muda mwingine na Admire mazishi ya wenzetu Muslims
Angezikwa kipagani na ngozi ya kondoo na vitambaa vyekundu Kama Yule mwendakwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…