Jinsi ilivyokuwa ibada ya kumuaga TB Joshua

Mchaga yuleeeeeeeeeeeee

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Usiongee kitu ambacho hukijui huo ni utamaduni wa wanigeria wanakaa mbaka mwezi ni utamaduni wao, halafu kingine hakuna mtu aliyekushika mkono hamia dini hiyo unayotaka coz hulazimishwi mtuache na ukristo wetu kwakweli
Safi
 
Kama kufa alishakufa..Alikufa Yesu mwana wa Mungu na akazikwa muda huo huo itakua yeye? Kumzungusha marehemu siku zote hizo na kufufuka ndo haiwezekani. Muda mwingine na Admire mazishi ya wenzetu Muslims
Kwani kusilimu inachukua muda gani? Jiunge na Waislam utazikwa chaap ukiwa umesokotwa mwenye sanda kama pipi katika karatasi bila hizi process zote
 
Kama kufa alishakufa..Alikufa Yesu mwana wa Mungu na akazikwa muda huo huo itakua yeye? Kumzungusha marehemu siku zote hizo na kufufuka ndo haiwezekani. Muda mwingine na Admire mazishi ya wenzetu Muslims
Yeye si anfufua wafu inakuwaje ameshindwa kujifufua au kuungana kina Gwaji boy na wenzake wamfufue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…