Jinsi Injini ya Ndege aina ya Jet inavyofanya kazi

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
630
Reaction score
1,262
Bila shaka umewahi kujiuliza 'injini ya ndege za abiria inafanyaje kazi? Na huenda hukupata majibu!
Ukiendelea kusoma,utapata jibu la swali hilo, Kwanza, hebu tuone sehemu za injini ya ndege.

Zifuatazo ni sehemu kuu tano za injini ya ndege (Jet Engine)

1.Air inlet
Hii ni sehemu ya mbele kabisa ya injini ambayo inakusanya hewa na kuiingiza katika sehemu inayofuata (inayoitwa Engine Air compressor (Kigandamizi-hewa).

2.Engine Air Compressor
Sehemu hii ina kazi ya kugandamiza hewa iliyoingizwa na kiingizi-hewa. Hewa inapogandamizwa,pressure inaongezeka. Na pressure inapoongezeka,spidi ya hewa hiyo huongezeka. Kwa hiyo sehemu hii,inafanya kazi ya kuongeza mwendo-kasi wa hewa inayoingia kwenye injini ya ndege. Baada ya kukamilisha kazi hiyo,kazi nyingine ni kuielekeza hewa hiyo kwenye sehemu ya tatu ya injini ya ndege.

3.Combustion Chamber.
Hapa ndipo nguvu inayoendesha ndege inatengenezwa. Ni sehemu ambayo hewa iliyo chini ya mgandamizo na mafuta vinakutana.
enginee.jpg

Kama uonavyo kwenye picha,kuna viji-bomba vodogo vinavyoleta mafuta kwenye injini kutoka kwenye mabawa ya ndege (airplane wings) au sehemu nyingine inayotunza mafuta kwenye ndege (lakini,mchanganyiko huo tu wa mafuta na hewa iliyo chini ya mgandamizo,ndio utatengeneza nguvu ya kuendesha ndege??).
Pia,kuna plagi za cheche (spark plugs) zinazochochea mchanganyiko huo wa mafuta na hewa na kuwasha moto mkubwa/gesi zilizo moto sana (zilizo katika chumba kidogo lakini).
Gesi hizo zilizo chini ya mgandamizo mkubwa,zinaelekezwa kwenye sehemu nyingine tena ya nne ambayo,huelekeza gesi hizo zilizo na pressure kwenye sehemu inaitwa Turbine.
Sehemu hii ina mapanga/vitu kama feni vinavyozunguka kwa kasi sana ili kuongeza spidi/mwendo-kasi wa gesi hizo za moto.
Sehemu hiyo inatuleta katika sehemu ya tano ya injini inayoitwa Nozzle.

4.Nozzle.
Hapa,gesi hiyo inayosafiri kwa kasi sana,inanyooshwa (directed) kwenda sehemu ya mwisho ya nijini ya ndege ambayo inapeleka gesi hizo za moto nje ya ndege kwa kasi kubwa sana.

5.Exhaut.
Hapa ndipo gesi hizo hutolewa nje kabisa ya injini ya ndege baada ya kupita sehenu zote nne za mwanzo!

images - 2021-10-27T221948.976.jpeg
 
View attachment 1988819

View attachment 1988838
 
Watu wakipewa vianzio, wakapelekwa kupata hii elimu, wakafanya research zao naamini Tanzania wanaweza tengeneza ndege nzuri tu.

Viongozi wa Africa wanahisi hivi vitu haviwezekani, lakini ukweli ni kwamba inawezekana kabisa.

Hakuna uchawi hapo ni elimu tu.
 
Nikweli kabisa watanzania wengi wana akili sana, nimegundua hilo baada ya kuweka picha isiyorasmi awali akatokea mmoja na kukosoa picha ile nikagundua kuwa kuna watu wanaujuzi mkubwa zaidi
 
Back
Top Bottom