Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Habari za wanawake hua simaindishi[emoji28][emoji28][emoji28]
Nice.. I do the same

Muda unavyozidi kwenda na kujifahamu, unashindwa ku entertain au kuchukulia serious any type of gesture from anyone ili kuulinda moyo from unexpected drama.

they may or may not have good intentions, but I am not willing to bet on that, kwasababu mara zote nilizojaribu nilikula za uso.

As a person with social anxiety, kuamini ni kipengele sana in my life, unaona bora uwe mwenyewe cause huwezi kujisaliti.
 
I don't want to expect anything from anyone. Sitaki furaha yangu itoke kwa mtu, kadri ya mtu anavyotaka kunikaribia mie ndio najiweka mbali.
I'm a Stoic...
 
Kwa hili la kujifungia ndani tunafanana majirani wakisikia mziki unapigwa ndio wanajua kuwa nipo
 
Kweli kabisa!!!
 
Huu uzi unanihusu kabisa ukiniona humu utajua hili jamaa ni liongeaji live sasa hauamini unayemuona

Ni aina ya watu wa kutoka kazini na kujifungia ndani

Marafiki wa kweli ninao wachache sana rafiki yangu ni mke wangu tu

Nikitoka job ni home ni ngumu sana kunikuta nachanganyika na watu mitaani au vikao vikao labda wasizidi wawili
 
Ushabiki wa mpira umenisaidia kiasi kua muongeaji😅
 
Brother! Unalazimisha kukosa hadi penati 🤣
Kama mimi hata kupiga simu naona kero, afadhali ku text

Kweli kabisa!!!


Da'Vinci introverts wanashindwa kufanya maamuzi magumu sababu ya kujiuliza kwao. Yaani kitilia shaka msimamo wako

"Lakini vipi kama ikiwa"

"Na kwa upande mwingine"

Hizi nguvu huvutana sana kwa introverts 😢
Cc
Jadda
 
Tutakomaaa kuandika ntaandika hata kitabu ila kuongea ni maneno machache sina maneno mengi, mii na ndani, ndani na mimi ila kuna madhara ya kuwa hivi jamani ,inaonekana kama umejitenga

Nijichanganye na watu ntajaribu ila inafikia wakati naboeka na makelele, napenda kusikiliza tu sio kuongea,,
Ole wanguuu.....
 
Acha uongo bama ww ni mcharuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…