KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Habari zenu wakuu,
Habari inayotikisa jiji letu pendwa ni hawa watoto watukutu. Unaweza kujiuliza hawa watoto hawana wazazi? Hawana ndugu?
Mpendwa msomaji napenda kukujulisha kuwa kwa tafiti yangu ndogo nimegundua kwamba hawa watoto chanjo Chake ni jamii yenyewe hasa WAZAZI.
Unakuta MZAZI ana mtoto wa kiume hana uelekeo wowote wa maisha ila anamlazimisha KUOA, anaoa ili kuwaridhisha wazazi wake, mke anazaa maisha yanakuwa magumu, huyu baba wa mtoto anatelekeza familia anasepa KUSIKOJULIKANA. Hapo mtoto anakuwa bila malezi ya Baba, chini ya uchumi mbovu.
Mama anashindwa kuafford gharama za maisha then mtoto anaingia kitaa kutafuta chochote,anakutana na wenzake wenye mood kama yake. Kundi kubwa linazaliwa wanafuta bangi na zana kadhaa then wanaingia kitaa kufanya matukio kadhaa.
Wito wangu kwa wazazi: Acheni kulazimisha watoto wenu kuoa kama hawana uchumi wa kuhandle majukumu ya familia ili kuepuka wimbi kubwa la watoto wa mitaani na hawa PANYA ROAD.
NB: WANAUME WA DAR MJITAFAKARI KWAKWELI🤣🤣
EID MUBAARAK