The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Na hao mabinti wanakubali kuolewa na mtu aliyelazimishwa kuoa na ambaye hana future yeyote?
Huyo binti anakua hana wazazi wakuchunguza kua binti yao anaenda kuolewa wapi? Kuolewa na nani? Na ataishije?
Huyo binti anakua hana wazazi wakuchunguza kua binti yao anaenda kuolewa wapi? Kuolewa na nani? Na ataishije?