Jinsi JamiiForums ilivyobadilisha maisha yangu (Mrejesho)

jf ni zaidi ya familia kwangu ule uzi ulifutwa nlkua napitia depression moja hatari sio ya kifedha

Ila zile pm aisee siji sahau

Wengine umepita mwezi kabisa wanantex dah watu wema bado wapo sana aisee [emoji7]

Mkulima wa mahindi
 
Hongera kwa kupapambana hadi kufanikiwa na sasa unawasaidia hata wale wasiokua na uwezo wa kukodisha mawakili ili wawasaidie kupata haki zao mahakamani. Kuna baadhi ya mawakili wao wamejikita kufungua kesi za kusuguana na SERIKALI ili hali ingependeza zaidi km wangerudi kwa watu wa kipato cha chini kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jf ni zaidi ya familia kwangu ule uzi ulifutwa nlkua napitia depression moja hatari sio ya kifedha

Ila zile pm aisee siji sahau

Wengine umepita mwezi kabisa wanantex dah watu wema bado wapo sana aisee [emoji7]

Mkulima wa mahindi
Hopefully umesha recover
 
Kantalambaz shukrani jiwe juu yako ndugu.
 
jf ni zaidi ya familia kwangu ule uzi ulifutwa nlkua napitia depression moja hatari sio ya kifedha

Ila zile pm aisee siji sahau

Wengine umepita mwezi kabisa wanantex dah watu wema bado wapo sana aisee [emoji7]

Mkulima wa mahindi

Pole na hongera pia kuivuka hiyo hali kop.

Firmino bobby kila la kheri na hongera pia.
 
Amini nawaambia kuna watu mnapita katika maisha ya hali flani ili iwe funzo na somo kwa wqtu wengine.

Unakumbuka kina Ayubu?
Kina Sala je?
Wote hao na wengi wengi ili tujifunze kwao!

Hata mimi naona kabisa maisha yangu yatabadirika kupitia Jf! Ipo siku ntaleta stori na mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kupitia jf nimejifunza mambo Mengi sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwombee tu kwa M/Mungu amlaze mahali pema peponi. Btw maamuzi bado ni ya Mungu.

Wanaotoa kauli kama yako huwa nawaona kama katili fulani hivi, wasiokuwa na upendo.
Sorry!
Ni wewe na mtazamo wako tu
 
Mbona hukumsaidia miguu ya kuku Hadi kajinyonga ,na pesa unazo ,Tena hata humu ukawa huonekani tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli sikubahatika kuusoma huo uzi wako ila nasema kutoka moyoni hongera sana mkuu. I can feel how you went through and how happy you're right now after achieving what you dreamt for.
Congratulations advocate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…