Jinsi JamiiForums ilivyobadilisha maisha yangu (Mrejesho)

Jinsi JamiiForums ilivyobadilisha maisha yangu (Mrejesho)

Mbona hukumsaidia miguu ya kuku Hadi kajinyonga ,na pesa unazo ,Tena hata humu ukawa huonekani tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha daah wee mkuu umenichekesha sanaa na hizi tuhuma ulizo zileta ni kama unazileta kwa li mtu flani tajiri sanaa,,,, anyways, ilo la miguu ya kuku sikua na fahamu jombo lolote hadi siku nilipoona mtu kapost amefariki, ndipo nikapitia uzi zake za nyuma nikaona alikua kwenye depression kubwa sanaaa, na hoja zake alivyozileta watu wengi walijua ni mizaha tu, ila ile iliniuma sanaa, may be wakati ule mimi au wewe tungeweza kusaidia lolote kabisaa,,, shida inakuja pale pale watu ni wagumu kumuamini mtu mara moja kua ana matatizo wengi et mpaka waone ila sio kusikia.
 
Back
Top Bottom