Jinsi jesca alivyojiunga udom

Jinsi jesca alivyojiunga udom

Mohamedy cadinaly

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2012
Posts
2,449
Reaction score
2,245
Jesca: Mwalimu mimi nataka
nisome form six kwani hii form 4 halinifai.
Mwalimu: Kwa nini unasema hivo?

Jesca: Nina akili...
Basi mwalimu kamueleza mkuu wa shule.

Mkuu kaitisha interview na jesca. Maswali ni haya....

Mwalimu: Kwenye ndege kuna matofali 157 tukitoa moja tukalidondosha chini yatabaki mangapi?

Jesca: Yatabaki 156.

Mwalimu: Nipe hatua za kumuweka tembo
kwenye friji.

Jesca: Unafungua friji unamuweka tembo kisha unafunga.

Mwalimu: Nipe hatua za kumuweka nyani
kwenye friji.

Jesca: Unafungua friji unamtoa tembo ulemuweka..unamueka nyani kisha unafunga friji.

Mwalimu: Kuna sherehe ya siku ya kuzaliwa kwa simba, wanyama wote wameenda kasoro mmoja. Ni nani na kwa nini?

Jesca: Ni nyani kwa sababu tumemuweka
kwenye friji.

Mwalimu: Bibi kizee amevuka mto unaokuwaga na mamba na viboko wakali, aliwezaje?

Jesca: Aliweza kwani mamba na viboko nao walienda kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa simba.

Mwalimu: Ingawa bibi kizee alivuka mto, baadae alikufa. Unadhani kwa nini?

Jesca: Alidondokewa na lile tofali tulotoa kwenye ndege na kutupa chini.

Mwalimu mkuu: Mwalimu "Huyu Mtoto
akasome UDOM........"
 
Walahi watu mna maneno kweli. hii sarakasi ikishia Lugumi atakuwa kapiga kwengine ten. Maana watu wako busy na baba jesca na vilaza.
 
Back
Top Bottom