Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 437
- 867
Nasadiki!🤝Jamaniiiiiiiiiiiii kila siku tunarudia kuwa kanisa ni moja tu TAKATIFU KATOLIKI NA LA MITUME....
Misa ni lisaa moja na nusu chap chap unatembea
Wacha weeeeee. 🚮Unatumia nguvu nyingi kupinga uhalisia, dini ni utapeli tena utapeli mkubwa
Dini imesababisha usaliti kwa MUNGU halisi wa Tanzania hadi akaamua kujitenga nasi, sasa ni dhahili kua SHETANI wa Tanzania ana nguvu kumzidi MUNGU wa Tanzania.
Ndo maana haonekani kiongozi hata mmoja ambae ni ni zao la kiungu, viongozi wote huingia madarakani kupitia dhambi na MUNGU wetu halisi kaamua kulikalia kimya sababu kuu ikiwa hizi dini kuja na miungu wao ambao hawana hata nguvu za maamzi.
Jitahidi anapokamuliwa usiwe unaishi naye.Atakuletea dhahma tupu.Wanawake huwaambii kitu Kwa wachungaji.Dawa Yao nikuwaacha tu wakamuliwe hadi pale akili zao zitakapofunguka.
Jitahidi anapokamuliwa usiwe unaishi naye.Atakuletea dhahma tupu. Kama naishi Naye siwezi kuruhusu huo utapeli na kama siishi Naye namuachatu maana ukimushauri utaambiwa ni shetani
acha umaandazi dogo, kutetea upumbavuSasa kanisa limevunjaje hapo mkuu? Mbona uelewa wako ni finyu sana we dogo?
Mfano shehe akibaka msikiti au waislam ndio wamebaka? Je Padri akilawiti kanisa ndio limelawiti? Mwalimu mkuu akiiba shule ndio imeiba? Baba yako akifumaniwa, nyumba yenu ndio imefumaniwa? Kwa umri wako hadi upo JF unashindwa kutofautisha kati ya mtu binafsi na taasisi?
Haya hongera kwa kucomment 👋👋👋 maana naona najadiliana na mwehu.
Ndivyo ulivyopumbazwa, huwezi kuona kama unaibiwa. Sadaka unayotoa unampelekea mwanaume mwingine yuko Vatican amekaa ametulia anakula maisha huo sio wizi?We acha bla bla Wakatoliki hawana wizi
Unajiita Evil genius halafu unadai hakuna MUNGU? There is no evil if God doesn't exist. Kinyume cha Mungu ni shetani so huwezi kujiita mfuasi wa shetani while you deny God existence. Labda useme hivi, "wewe unachukia mambo yote ya Mungu but ni mpenzi na mfuasi wa shetani" hapo nitaelewaSio mwamposa tu, makanisa na dini yote ni utapeli. Mungu hayupo n wala hajawahi kuwepo
Dini inavyopumbaza watu, ni mkatoliki kuona muumini wa mwamposa anaibiwa na muumini wa mwamposa kuona mkatoliki anaibiwa, yaani wote wamepumbazwa kuona kwamba mwenzie ndie anaeibiwa ila sio yeye ingawa uhalisia ni kwamba wote wanaibiwa, huyu anaibiwa na mwamposa na huyu anaibiwa na papa Francis nk nk.
Dini ni utapeli mkubwa kuwahi kutokea Duniani.
Kabisa lo
Usije nifanyie hivyo sweetheart...Kabisa lo
Hahaaaaaa nimecheka kama mazuri. Niambie, kanisa limevunjaje ndoa ya Binamu yenu hapo?acha umaandazi dogo, kutetea upumbavu
Uovu hauhusiani na shetani wala wema ama uzuri hauhusiani na mungu. Hivyo ni viumbe ambavyo havipo.Unajiita Evil genius halafu unadai hakuna MUNGU? There is no evil if God doesn't exist. Kinyume cha Mungu ni shetani so huwezi kujiita mfuasi wa shetani while you deny God existence. Labda useme hivi, "wewe unachukia mambo yote ya Mungu but ni mpenzi na mfuasi wa shetani" hapo nitaelewa
Uovu hauhusiani na shetani wala wema ama uzuri hauhusiani na mungu. Hivyo ni viumbe ambavyo K
Kwani neno Mungu au shetani lina maana gani? Or let me put this way, hapa duniani kuna JINA la kitu halafu hicho kitu HAKIPO? Nini huanza, kitu au jina la kitu?Uovu hauhusiani na shetani wala wema ama uzuri hauhusiani na mungu. Hivyo ni viumbe ambavyo havipo.
Mkuu mbona swali lako la kitoto sana. Kuweka jina la kitu ambacho hakipo mbona ni jambo dogo sana. Unaweza kutunga tu jina la kitu chochote, hilo halihitaji uwe umemaliza darasa la 7 kulijua.Kwani neno Mungu au shetani lina maana gani? Or let me put this way, hapa duniani kuna JINA la kitu halafu hicho kitu HAKIPO? Nini huanza, kitu au jina la kitu?