Jinsi Kenya walivyojipanga kuichafua Tanzania

Jinsi Kenya walivyojipanga kuichafua Tanzania

CARIFONIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
616
Reaction score
1,453
Kwa muda mrefu Wakenya wamekuwa wakitumia mwanya wa upole na ukarimu wa Tanzania kuwazunguka katika mambo mengi sana, ukizingatia Tanzania walikua wanaichukulia kenya kama taifa jirani na ndugu lakini kumbe wenzao walitumia mwanya huo kuwazunguka katika mambo mengi hasa ya kiuchumi.

Kama tunavyojua hivi karibuni dunia ilikubwa na janga la ugonjwa wa corona na kila taifa liliweza kuchukua hatua ambazo zinafaa kuakikisha linawarinda raia wake, japokua Tz iliamua kuchukua hatua tofauti na mataifa mengine katika kupambana na gonjwa hili.

Jambo la kushangaza ni pale majirani zetu wakiongozwa na kenya walivyohanza kuidharirisha Tanzania kwamba ndio inayozuia juhudi za kupambana na corona katika ukanda huu wa East Africa, vyombo vya habari vya kenya vikatumika kuisema vibaya Tz huku raia wakenya wakitumia mitandao ya kijamii kuiponda Tz kwa hatua ilizozichukua katika kupambana na corona, lakini kama haitoshi serikali ya ya kenya ikafikia hatua ya kufunga mipaka yake na Tz kwa madai ya kuwakinga raia wake na corona huku wakidai madereva watanzania waliokua wanaingia kenya ndio wanawaletea corona, Kenya ikataka kuiaminisha Dunia kuwa Tz ndio kikwazo katika ukanda huu wa East Africa katika mapambano ya ugonjwa wa corona.

Tukiachana na habari za corona tunaona hivi juzi kati, Kenya walikua wanachuana na Djibuti katika kuwania uwakilishi wa Africa katika Baraza la Umoja wa Mataifa; kura zimepigwa na Kenya kaibuka mshindi, lakini jambo la ajabu ni kwamba Wakenya wametengeneza fake news kwamba katika uchaguzi huo Tz waliwatosa kwamba Tz aikuupigia kura Kenya. Wakenya wengi wametumia uongo huu kuichafua Tz na kuisema vibaya wakidai kua Tz sio jirani yao bali ni adui yao.

Habari za uhakika kutoka UN zimeweza kutolea maelezo juu ya taarifa na kipeperushi kilichokua kikisambaa mtandaoni kuhusu taarifa za uchaguzi kua habari hizo ni za uongo na hazina ukweli wowote, kwani suala la upigaji kura ni siri lakini pia katika kile kipeperushi kulikua na mataifa ambayo hata sio wanachama wa umoja wa mataifa.

Swali langu kwa Wakenya: Hivi vitu mnavyovifanya kwa Tz inatokea tu kama bahati mbaya au ni mipango madhubuti ya Wakenya na serikali yenu?
 
Wakenya kwa sasa wanalalamika kwa nini Tanzania iliipigia kura Djibouti na kuisaliti Kenya wakati ni jirani yao.
Ea-0CqWWAAEZEv8.jpg
 
Kwa muda mrefu wakenya wamekuwa wakitumia mwanya wa upole na ukarimu wa Tanzania kuwazunguka katika mambo mengi sana, ukizingatia Tanzania walikua wanaichukulia kenya kama taifa jirani na ndugu lakini kumbe wenzao walitumia mwanya huo kuwazunguka katika mambo mengi hasa ya kiuchumi.

Kama tunavyojua hivi karibuni dunia ilikubwa na janga la ugonjwa wa corona na kila taifa liliweza kuchukua hatua ambazo zinafaa kuakikisha linawarinda raia wake, japokua Tz iliamua kuchukua hatua tofauti na mataifa mengine katika kupambana na gonjwa hili.

Jambo la kushangaza ni pale majirani zetu wakiongozwa na kenya walivyohanza kuidharirisha Tanzania kwamba ndio inayozuia juhudi za kupambana na corona katika ukanda huu wa east Africa, vyombo vya habari vya kenya vikatumika kuisema vibaya Tz huku raia wakenya wakitumia mitandao ya kijamii kuiponda Tz kwa hatua ilizozichukua katika kupambana na corona, lakini kama haitoshi serikali ya ya kenya ikafikia hatua ya kufunga mipaka yake na Tz kwa madai ya kuwakinga raia wake na corona huku wakidai madereva watanzania waliokua wanaingia kenya ndio wanawaletea corona, kenya ikataka kuiaminisha Dunia kua Tz ndio kikwazo katika ukanda huu wa east africa katika mapambano ya ugonjwa wa corona.

Tukiachana na habari za corona tunaona hivi juzi kati, kenya walikua wanachuana na Djibuti katika kuwania uwakilishi wa Africa katika baraza la umoja wa mataifa, kura zimepigwa na kenya kaibuka mshindi, lakini jambo la ajabu ni kwamba wakenya wametengeneza fake news kwamba katika uchaguzi huo Tz waliwatosa kwamba Tz aikuupigia kura kenya, wakenya wengi wametumia uongo huu kuichafua Tz na kuisema vibaya wakidai kua Tz sio jirani yao bali ni adui yao.

Habari za uhakika kutoka UN zimeweza kutolea maelezo juu ya taarifa na kipeperushi kilichokua kikisambaa mtandaoni kuhusu taarifa za uchaguzi kua habari hizo ni za uongo na hazina ukweli wowote, kwani suala la upigaji kura ni siri lakini pia katika kile kipeperushi kulikua na mataifa ambayo hata sio wanachama wa umoja wa mataifa.

Swali langu kwa wakenya hivi vitu mnavyovifanya kwa Tz inatokea tu kama bahati mbaya au ni mipango madhubuti ya wakenya na serikali yenu?

SOMA KWA FURAHA UNAFIKI WA KENYA UISHE TANZANIA MY BELOVED COUNTRY GOD BLESS YOU FOREVER
-Kenya na Djibouti zilikuwa zinang'ang'ania uanachama katika baraza la Umoja wa Mataifa

- Kenya ilishinda katika mkondo wa kwanza na kura 113 dhidi ya Djibouti 78 lakini kuweka pengo kubwa wakati wa awamu ya pili kwa kura 129 dhidi ya 62

-Duru kutoka Umoja wa Mataifa imebainisha kwamba uchaguzi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ni siri na hivyo matokeo yanayosambaa mtandaoni ni feki

Wakenya kupitia mtandao wa Twitter walikuwa wameonyesha kukerwa na hatua ya mataifa jirani ya Tanzania, Ethiopia na Somali kuwageuka wakati wa kura ya kupata kiti muhimu cha uanachama katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

Katika kura hiyo iliyoandaliwa siku ya Jumatano, Juni 14, Kenya ilishinda kura 113 dhidi ya Djibouti iliyopigiwa kura na mataifa 78 katika awamu ya kwanza.

Japo hakuna aliyeibuka mshindi kwani ziliitajika kura 128 ili kutawazwa mshindi, zoezi hilo liliendelea siku ya Alhamisi, Juni 14, ambapo Kenya iliibuka mshindi kwa kura 129 huku idadi ya kura za Djibouti zikipingua hadi 62.

Hata hivyo, Mkurugenzi Mkuu wa katika Kundi la Dharura, Richard Gowan alikanusha matokeo hayo ambayo yalianza kuibika mtandaoni kuanzia Alhamisi, Juni 18 baada ya matokeo rasmi kutangazwa.

"Mjitahadhari na matokeo ya uchaguzi wa UNSC. Kura za UNSC huandaliwa kama siri na huongozwa na Rais wa Bunge la Umoja wa Mataifa kulingana na kipengee cha 83 cha sheria za UNSC," alisema Gowan.

Gowan pia aliweka bayana kuwa wanachama ambao wameorodhoshwa kwenye orodha hiyo sio wanachama wa UNSC.

"Jambo lingine kwa wale wanaghushi matokeo ya UNSC. Kosovo sio mwanachama wa UN," aliongezea Gowan.

Matokeo hayo yalikuwa yamezua ghadhabu miongoni mwa Wakenya huku jambo ambalo liliwashangaza Wakenya zaidi ni kuwa pia China ilikuwa miongoni mwa mataifa ambayo yalipigia Djibouti kura
 
Wakenya Ni nyoka..
Kwa muda mrefu wakenya wamekuwa wakitumia mwanya wa upole na ukarimu wa Tanzania kuwazunguka katika mambo mengi sana, ukizingatia Tanzania walikua wanaichukulia kenya kama taifa jirani na ndugu lakini kumbe wenzao walitumia mwanya huo kuwazunguka katika mambo mengi hasa ya kiuchumi.

Kama tunavyojua hivi karibuni dunia ilikubwa na janga la ugonjwa wa corona na kila taifa liliweza kuchukua hatua ambazo zinafaa kuakikisha linawarinda raia wake, japokua Tz iliamua kuchukua hatua tofauti na mataifa mengine katika kupambana na gonjwa hili.

Jambo la kushangaza ni pale majirani zetu wakiongozwa na kenya walivyohanza kuidharirisha Tanzania kwamba ndio inayozuia juhudi za kupambana na corona katika ukanda huu wa east Africa, vyombo vya habari vya kenya vikatumika kuisema vibaya Tz huku raia wakenya wakitumia mitandao ya kijamii kuiponda Tz kwa hatua ilizozichukua katika kupambana na corona, lakini kama haitoshi serikali ya ya kenya ikafikia hatua ya kufunga mipaka yake na Tz kwa madai ya kuwakinga raia wake na corona huku wakidai madereva watanzania waliokua wanaingia kenya ndio wanawaletea corona, kenya ikataka kuiaminisha Dunia kua Tz ndio kikwazo katika ukanda huu wa east africa katika mapambano ya ugonjwa wa corona.

Tukiachana na habari za corona tunaona hivi juzi kati, kenya walikua wanachuana na Djibuti katika kuwania uwakilishi wa Africa katika baraza la umoja wa mataifa, kura zimepigwa na kenya kaibuka mshindi, lakini jambo la ajabu ni kwamba wakenya wametengeneza fake news kwamba katika uchaguzi huo Tz waliwatosa kwamba Tz aikuupigia kura kenya, wakenya wengi wametumia uongo huu kuichafua Tz na kuisema vibaya wakidai kua Tz sio jirani yao bali ni adui yao.

Habari za uhakika kutoka UN zimeweza kutolea maelezo juu ya taarifa na kipeperushi kilichokua kikisambaa mtandaoni kuhusu taarifa za uchaguzi kua habari hizo ni za uongo na hazina ukweli wowote, kwani suala la upigaji kura ni siri lakini pia katika kile kipeperushi kulikua na mataifa ambayo hata sio wanachama wa umoja wa mataifa.

Swali langu kwa wakenya hivi vitu mnavyovifanya kwa Tz inatokea tu kama bahati mbaya au ni mipango madhubuti ya wakenya na serikali yenu?
Wakenya ni watu wabaya Sana wamechaguliwa na Africa Nzima ispokuwa Somalia, Djibouti, Burkina Faso, Tanzania, Somalia na Nchi za kiarabu.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
hivi hamna kazi ya kufanya kwani...Wakenya hatuna maana tumeskia!
 
Natamani hiyo iwe kweli kuwa Tz hatujaipigia kura KE. Siwataki kabisa hawa wakola
 
Roho ya kichawi hii, unakimbia ukifikiria unakimbizwa na hakuna aliye na haja na wewe (watanzania wengi walivyo katika fikra zao, na walivyo aminishwa). Siku ile mtajua wakenya wengi ata hawaifahamu Tanzania na they dont even care, utakua umepoteza mengi.
 
Back
Top Bottom