CARIFONIA
JF-Expert Member
- Aug 17, 2013
- 616
- 1,453
Kwa muda mrefu Wakenya wamekuwa wakitumia mwanya wa upole na ukarimu wa Tanzania kuwazunguka katika mambo mengi sana, ukizingatia Tanzania walikua wanaichukulia kenya kama taifa jirani na ndugu lakini kumbe wenzao walitumia mwanya huo kuwazunguka katika mambo mengi hasa ya kiuchumi.
Kama tunavyojua hivi karibuni dunia ilikubwa na janga la ugonjwa wa corona na kila taifa liliweza kuchukua hatua ambazo zinafaa kuakikisha linawarinda raia wake, japokua Tz iliamua kuchukua hatua tofauti na mataifa mengine katika kupambana na gonjwa hili.
Jambo la kushangaza ni pale majirani zetu wakiongozwa na kenya walivyohanza kuidharirisha Tanzania kwamba ndio inayozuia juhudi za kupambana na corona katika ukanda huu wa East Africa, vyombo vya habari vya kenya vikatumika kuisema vibaya Tz huku raia wakenya wakitumia mitandao ya kijamii kuiponda Tz kwa hatua ilizozichukua katika kupambana na corona, lakini kama haitoshi serikali ya ya kenya ikafikia hatua ya kufunga mipaka yake na Tz kwa madai ya kuwakinga raia wake na corona huku wakidai madereva watanzania waliokua wanaingia kenya ndio wanawaletea corona, Kenya ikataka kuiaminisha Dunia kuwa Tz ndio kikwazo katika ukanda huu wa East Africa katika mapambano ya ugonjwa wa corona.
Tukiachana na habari za corona tunaona hivi juzi kati, Kenya walikua wanachuana na Djibuti katika kuwania uwakilishi wa Africa katika Baraza la Umoja wa Mataifa; kura zimepigwa na Kenya kaibuka mshindi, lakini jambo la ajabu ni kwamba Wakenya wametengeneza fake news kwamba katika uchaguzi huo Tz waliwatosa kwamba Tz aikuupigia kura Kenya. Wakenya wengi wametumia uongo huu kuichafua Tz na kuisema vibaya wakidai kua Tz sio jirani yao bali ni adui yao.
Habari za uhakika kutoka UN zimeweza kutolea maelezo juu ya taarifa na kipeperushi kilichokua kikisambaa mtandaoni kuhusu taarifa za uchaguzi kua habari hizo ni za uongo na hazina ukweli wowote, kwani suala la upigaji kura ni siri lakini pia katika kile kipeperushi kulikua na mataifa ambayo hata sio wanachama wa umoja wa mataifa.
Swali langu kwa Wakenya: Hivi vitu mnavyovifanya kwa Tz inatokea tu kama bahati mbaya au ni mipango madhubuti ya Wakenya na serikali yenu?