Jinsi kilimo kinavyowafilisi watu wa Bagamoyo

Jinsi kilimo kinavyowafilisi watu wa Bagamoyo

MKUU VIPI MAJI WENGI HUKIMBILIA BAGAMOYO KISA MAJI SEHEMU NYINGI YAPO HUKO NI KUKAME VIPI HILI MKUU
 
MKUU VIPI MAJI WENGI HUKIMBILIA BAGAMOYO KISA MAJI SEHEMU NYINGI YAPO HUKO NI KUKAME VIPI HILI MKUU

Alama za uandishi mkuu maana nimesoma mara tatu ndo nikaelewa ulichomaanisha hasa mstari wa mwisho.
 
Katika kauchunguzi kangu kadogo nimegundua watu wengi wanalazimisha kilimo kwenye ardhi ya bagamoyo wakati sio rafiki kwa kilimo,watu wamesahau upande huu wa Mkuranga,Kimanzi na Rufiji ambapo pana ardhi bikra na pia bei ni chee.

Watu wengi wanakimbilia bagamoyo ambapo ardhi ni ghali na haina rutuba kama iliyopo kanda hii mfano jamaa yangu amenunua Bagamoyo na mimi nikanunua Kimanzi, amepanda ufuta na mimi nimepanda ufuta,wangu umetoka wote tena una rutuba vizuri,wake umetoka moja moja, amarudia lakini hali ni ile ile.

Mimi nachanja mbuga saizi nipo kwenye palizi yeye amekata tamaa,ukitaka utoke kwenye mashamba ya bagamoyo uwe na capital ya kutosha,hata nanasi ya kimanzi au rufiji na ya bagamoyo huwezi linganisha,bagamoyo ameiweza mkwere kwenye nanasi kwakuwa ana capital kubwa,hata shukuru kawambwa naona anahangaika tu, vijana wenzangu nawakaribisha kimanzi.


Naomba kuuliza,

huko KIMANZI ndo wapi??
 
Kiongozi tusaidie vijana wenzako tuwe majirani hapo kimanzi. Im impressed
 
Naomba kuuliza,

huko KIMANZI ndo wapi??
maisha ndio yatakufunza wala sio mimi,na mimi mwanzoni nilikuwa nauliza ni wapi ni wapi ila mwishowe nilienda mwenyewe bila kuelekezwa
 
maisha ndio yatakufunza wala sio mimi,na mimi mwanzoni nilikuwa nauliza ni wapi ni wapi ila mwishowe nilienda mwenyewe bila kuelekezwa

Nimeomba unieleze Kimanzi ni wapi. Sijui ndo maana nimeuliza. Sio kosa mzee. Alaaa!!!
Kama hutaki kujibu ni bora tu uwe straight forward..!
 
Kimanzichana ni kata ya Wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani barabara ya kwenda Kusini Lindi na Mtwara, ni sawa na KM 44 ukitokea Mbagala nauli daladala ni 2,400/=
kumbe karibu sana na mjini,unaenda kupalilia unarudi kulala mjini,safi sana
 
kumbe karibu sana na mjini,unaenda kupalilia unarudi kulala mjini,safi sana
KM 77
Kufika centre ni karibu sana ila sasa hayo mashamba hayapo centre lazima itakuwa ndani ndani hivyo hapo mtoa post ndiyo anatakiwa atoe ufafanuzi kuna umbali gani kutoka kimanzichana centre na usafiri wa kufika kwenye hayo mashamba ya laki mbili kwa heka
 
Nashukuru sana mkuu.

Shukhran sana!!
ni KM 77 ila hayo mashamba ya laki mbili kwa heka huwezi kuyapata hapo centre lazima itakuwa ndani ndani hivyo mtoa mada anaweza kusaidia kuna umbali gani kutoka kimanzichana centre hadi mashamba yalipo.
 
Nchi hii bado ardhi ni bei rahisi sana ila kwasababu watu tunataka kujazana Dar na tunalipenda joto la Dar basi ukipelekwa keingine unaona maisha ni magumu sana ila baada ya miaka 10 ijayo misoto itakuwa mikubwa na ndipo tutakapokumbuka huko tulipopaita Sigimbi ila napo patakuwa hapashikiki kwa bei za mashamba
inaaproch ten years now
 
Back
Top Bottom