sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Umetumia kama milioni 10 hivi ukiwa chuoni ukitegemea ipo siku utaajiriwa ila hadi sas hakuna dalili.
Mbaya zaidi wale waliofurahia mikopo ya takribani milioni 12 hadi wamalize elimu zao kwa sasa wana madeni mazito maana kuna penati ya asilimia 10 na tozo ya asilimia 6 kila mwaka.
Mttani umekuwa mtu wa kuonyeshewa vidole vya mfano hai wa kundi la watu waliomaliza vyuo ila mitaa inawachakaza, inauma sana.
Wenzako uliosoma na pengine wengi ambao ulikuwa nao karibu tayari wana ajira u biashara nzuri tu, kiukweli utaumia tu hasa pale unapowaona kwenye status fulani kapandishwa cheo, fulani anapnua biashara, fulani kaongeza gari, n.k jamani inauma.
unatamani sana kununua hata maji utulize kiu ila inakubidi ujikaze tu ufike kwako, unajipa moyo kamba wacha nitembee nifaye zoezi kumbe wala, huna nauli, inauma sana.
Unawashauri wadogo zako mtaani kozi za kusoma chuo, mwusho wa siku wanakwambia mbona wewe hujaajiriwa, jamani inaumaaa.