dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 596
- 1,475
Watu wanahisi kumbu kumbu ni kama video recorder inatunza matukio yote kwa usahihi na ufasaha ila ki ukweli si hivyo, kumbu kumbu mara nyingi ni kama suggestion kukisia kwa matukio uliyoyaona na kusikia, unavyo kumbuka kitu ubongo unafanya suggestion ya tukio lilivyokuwa.
Kumbu kumbu za uongo ( false memory ), ni hali ya ubongo kutengeneza kumbu kumbu ambazo sio za kweli, kukumbuka matukio ambayo hayakutokea hiki ni kitu cha kweli kuna muda ubongo hutengeneza matukio ambayo sio na kutudanganya kuwa ni kumbu kumbu halisi.. Kumbu kumbu za uongo zinaweza kuchangiwa na maoni, hisia na uzoefu wa sasa.kuna uchunguzi ulifanyika marekani ambapo walichukua watu ambao mwaka 1972 walipinga shauri la kutokuwa na bangi kisha mwaka 1992 wakakubali shauri na matumizi ya bangi ila cha kushangaza wengi waliopinga mwaka 72 walikuwa wanasema hawajawahi kupinga matumizi ya bangi. kuna ubaguzi wa kimabadiliko, ukiwa unataka kufanikiwa kwenye jambo lolote ukapitia ugumu wa kawaida tu ila ukifanikiwa unaweza ukakumbuka kwamba ulipitia hali ngumu mno kufika hapo ambapo inaweza kuwa siyo kweli.
Kuna hali inaitwa illusory correlation hii ni hali ya ubongo kutengeneza uhusiono wa matukio mawili ambayo hayahusiani kabisa mfano unaweza ukasimuliwa na mtu kwamba lienda sokoni akakuta vurugu kwa kuwa kulikuwa na mwizi akipigwa pia na wewe ulishawahi kwenda sokoni kukatokea vurugu ila watu wanapigana baada muda mrefu kupita unaweza ukakumbuka ulienda sokoni na kulikuwa na vurugu kwa kuwa mwizi alikuwa anapigwa wakati sio
Jinsi ya kusaidia kutunza angalau kumbu kumbu za muhimu
1.Kuwa unaandika au kurekodi ili kama ukitaka kukumbuka nini kilitokea uwe na ushahidi halisi wa kilichotokea
2.kuondoa ubaguzi wowote , inaweza kuwa ni vigumu ila jaribu unapo kumbuka jaribu kutoa ubaguzi mfano ni vigumu kukumbuka mambo ya furaha kama kwa wakati huo una hasira tuseme kuna siku ulitoka we na partner wako ila kwa bahati mbayo siku haikuwa nzuri ilishia na ugomvi na kuambiana maneno mabaya na mkachukiana hivyo ukipita muda ni vigumu kukumbuka kama kuna kitu au maneno mazuri aliyo yasema sababu bado una hasira
3.Jipe muda wa ku process kumbu kumbu hata kama ni kumbu kumbu negative mbaya za kuumiza, kukasirisha au kuogopesha ila ukikumbuka kwa ndani zaidi unaweza ukapata kumbu kumbu sahihi
Kama ni hivyo vipi kwenye matukio ya ushahidi huenda wanaotoa ushahidi hukumbuka matukio ambayo siyo yote yana uhakika huenda alisikiliza hiki akaona hiki akambiwa hiki alafu baadae akikumbuka tukio yote yanakuja kama tukio alilo shuhudia.
Pia watu wa saikolojia je wanapasawa kuaminika sababu anaweza akakuwekea suggestion ya kumbu kumbu ya kitu sicho ili ukubaliane na alivyo ona yeye mfano tatizo la wewe kuwa na hasira na kutotunza kuwa na uhusiano ni sababu ya mambo yaliyo kutokea utotoni labda baba yako alikuwa akikupiga sana hii ni inaweza kuwa mbaya hasa kwa mtu mwenye serious mental issues
"Ubongo wetu unauwezo mkubwa" mno ila sio kila muda unaweza kuwa sahihi