Mr mawaya
New Member
- Apr 27, 2024
- 1
- 1
UTAGULIZI
VETA ni moja ya taasisi zinazo milikiwa na serikali ya jamuhuri ya muungano ya Tanzania,veta ni tasisi ambayo unazarisha watoa huduma na mafundi wa fani mbalimbali. Mafundi wa veta wamafundishwa vizuri kulingana na maitaji yetu. Pia veta unazarisha mafuti wenye uwezo wa kufanya kazi katika inchi yoyote duniani japo sio wote na ni kwa baadhi ya vyuo Kama veta Lindi na veta mtwara tena kwa baadhi ya fani kwa sababu hawa walipata ufadhiri kutoka kwa kampuni za uchimbaji wa gesi ulio lenga kuwaendeleza wanafunzi kwa kuwaboreshea mafunzo na kuwapa mitihani ya kimataifa ambayo iliwafanya kupata cheti kinacho tambulika duniani kwa hiyo wanafunzi wao wana uwezo wa kimataifa.
CHANGAMOTO ZA MAZAO YA VETA
(I) Ukosefu wa elimu ya kujitegemea
Veta inazalisha mafundi wanao hitimu kwa mwaka ni zaidi ya laki moja (100,000) ambao kati yao zaidi ya wahitimu wapatao 30,000 sawa na asirimi 30% wanakwenda kuwa mafundi na wengine zaidi ya wahitimu 70,000 ambayo ni sawa asirimia 70% wanakwenda kuishi maisha mengine ambaya hayategemei tena walicho jifunza veta na hili ndio kundi kubwa sana.
Mfano: Mimi nimehitimu mafunzo ya veta mwaka 2015 ktk fani ya WELDING AND METAL FABRICATION, tulio hitimu tulikuwa 40 wasichana 8 na wavulana 32 lakn mpaka sasa wanao ishi kwa kunufaika na veta ni wavulana 10 pekee na hakuna msichana hata mmoja. Wanawake wanaangukia kupata waume ambao wanaziuwa ndoto zao na kuwapandikizia chuki washindwe kuzipenda tena fani zao na wanaume wameshindwa kuendelea kutokana na kukosa sapoti kutoka kwa watu wao wa karibu na serikali
(ii) Ukosefu wa mitaji
Vijana wengi wanao kwenda kupata mafunzo katika vyuo vya VETA ni wale walio toka kati familia za chini kwa uchumi kwaiyo wanapo maliza mafunzo famfamilia zinashindwa kumudu kuwanunulia au kuwapa mitaji ya kuweza kujiajiri kwa kile walicho somea. Kutokana na hili Vijana wengi uangukia kwenye shughuli mbadala ili kuweza kumudu ugumu wa maisha. Mitaji ni kikwazo kwa wahitimu wengi kwa wale walio hitimu katika vyuo vya VETA vya serikali kwa sababu vyuo vingine wanapewa baazi ya vitendea kazi vitakavyo wafanya wakirudi mtaani waweze kujiajiri kwa kile walicho somea
(iii) Ukosefu wa ajira
Ajira pia imekuwa ni changamoto kubwa sana inayo pelekea tushindwe kunufaika na mazao ya veta. Serikali imeiachia taasisi binafsi iweze kuchukuwa mafundi kutoka veta japokuwa na wao wana jikongoja kuchukuwa mafundi kutoka veta wanaona ni bora kuchukuwa mafundi wa mtaani tu. Ajira kwa jicho lingine pia ni tatizo kubwa pia kwa kuwa Tanzania wanazalisha mafundi wengi sana wa fani mbalimbali lakn hawana pa kwenda hakuna kampuni ambayo inaenda veta kuomba kuwapata mafundi wa kuweza kuwatumia katika kazi zao halii inapelekea watu wengi kukata tamaa na kuona vyuo vya ufundi veta havina maana kwao
TUNAWEZAJE KUVUNA MAZAO YA VETA
(i) serikali kupitia vizara ya ujenzi ipewe uwezo wa kumiriki kampuni za ujenzi ambazo zitakuwa zinaweza kufnya kazi za serikali na binafsi kampuni hizo zitumie wataalamu na mafundi wa ndani Kama zinavyo fanya nchi za China na Urusi. Hii ni njia kubwa sana ya kuweza kutatua changamoto inayo pelekea tushindwe kuvuna mazao ya veta kwa uwingi. Wezara hii inausika moja kwa moja katika kuvuna mazao ya veta kwasabu watakuwa na uwezo wa kuajiri mafundi wengi zaidi amaba watawatumia katika kulijenga taifa imara na kuchangia katika pato la taifa.
(ii) Halmashauli zetu kupitia idara ujenzi ziajiri mafundi wa kutosha na wataalamu, mafundi hawa watumike kwa ajiri ya kazi za halmashauli pekee kwa mfano madarasa, nyumba za watumishi, matengenezo ya magari na piki piki, viti na meza katika maofisi na shule. Halmashauli zetu zinapata miradi mingi sana ndani ya mwaka yenye thamani zaidi ya bilioni ambayo kwa sasa inafanywa na mafundi wa kawaida.
(iii) wizara mbalimbali nazo zijengewe uwezo wa kuwa na vitengo vya ufundi kuwa na mafundi wa wizara kwasababu wizara zote zinauwitaji wa mafundi mbalimbali kwa kuarakisha kazi za wizara.
HITIMISHO
Endapo serikali itaamua kutazama kwa namna nyingine jinsi ya kupata mavuno haya ya veta tutakuwa tumepiga hatua kubwa sana kiuchumi hatutakuwa tunapoteza pesa nyingi kutafuta wakandalasi kutoka nje ya inchi kuja kufanya miladi yetu wakati tutakuwa na sisi tuna makampuni yenye uwezo wa kusimamia na kufanya miradi yote mikubwa na midogo. Lakni pia serikali kupitia wizara ya ujenzi itakuwa na uwezo wa kuomba tenda ndani na nje ya inchi. Kwa kufanya hivyo tutakuwa tumeokowa vijana wengi sana ambao walikuwa mtaani kwa kuwapa ajira na pia serikali itakuwa imeongeza pato la taifa kwa kiasi kikubwa sana.
Wizara ya ujenzi itumike pia katika kuzarisha na sio kutumia pesa pekee kama hilivyo hivi sasa, wizara ina wataalamu wengi ambao ni wa simamizi tu akuna mafundi hata wachache ndio maana inashindwa kuzalisha Kama wezara zingine. Natamani wataalamu wapitie vizuri sela zake ikiwezekana zibadirishwe kuendana na wakati tuliopo tusiwe na wizara ambayo itakuwa tegemezi tu Kama hii ya ujenzi. Tunatakiwa tuone bajeti isomwe kwa kusema Kama Kuna kiasi kimeongezeka kwa kufanya miradi kadhaa.

Upvote
5