MICHAEL JACKSONN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 226
- 229
huwa nakwambia kila siku,tofauti yako na kuku ni kwamba kuku anakumbuka banda lake giza likiingia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini angeenda kusinzia Ikulu?Raila angeenda kusinzia tu Ikulu.
Lakini, Mungu anasingiziwa tu.
Kwa wanaokufahamu hapa jukwaani hakuna atakayeshangaa wewe kuandika huu upumbavu wako, tunajua kabisa una chuki dhidi ya ccm na mwendazake.Binadamu tunatakiwa kujifunza na kukumbuka kwamba HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAPO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU
Kilichomkuta Raila Odinga kiwe fundisho kwa Wanadamu wengine waliosalia hapa Duniani , hata kama hawagombei madaraka , haijawahi kutokea binadamu yeyote mwenye hofu ya Mungu kuunga mkono matendo maovu , kwa vile tu yanafanywa na Kiongozi fulani , ni wafuasi wa Shetani pekee wanaoweza kuunga mkono unyama huo.
Raila akijua anayoyafanya Magufuli nchini mwake , ya kuruhusu utekaji na kupotea kwa watu , ikiwemo uporaji ulioitwa PLEA BARGAIN (ambao hela zake hazijulikani zilipo , hii ni kwa mujibu wa CAG ) , Wanasiasa kusingiziwa kesi za uongo za Uhujumu uchumi na utakatishaji hela , huku uporaji wa mifugo ya nchi jirani zikiwemo Rwanda na Kenya UKIASISIWA RASMI NCHINI TANZANIA , kukiwa pia na Ukatili ambao haujawahi kuonekana kabla ya HITLER kuzaliwa wa KUCHOMA MOTO VIFARANGA VYA KUKU KUTOKA KENYA VISIVYO NA UGONJWA WOWOTE, Lakini Raila Odinga akatia pamba masikioni akaamua kumuunga mkono Magufuli bila hata aibu hadharani, huku akiahidi kuiongoza Kenya kama Magufuli alivyoongoza Tanzania , Hatimaye Mungu amekataa Wakenya kuteswa kinyama kama Watanzania .
ASANTE MUNGU NA SHUKRANI SANA WAKENYA KWA KUKATAA UDIKTETA NCHI MWENU.
FUNZO : HATA KAMA WATAWALA WATASIMIKA MTU WAO BADO WANANCHI MKISHIKAMANA MNAWEZA KUMKATAA NA AKASHINDWA.
Mungu Ibariki Jamhuri ya watu wa Kenya.
Ww ni mpumbavu kama wapumbavu wengine huko chadema, kwani vipindi vingine hivyo Odinga alivokosa urais Magufuli alikuwepo.?Binadamu tunatakiwa kujifunza na kukumbuka kwamba HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAPO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU
Kilichomkuta Raila Odinga kiwe fundisho kwa Wanadamu wengine waliosalia hapa Duniani , hata kama hawagombei madaraka , haijawahi kutokea binadamu yeyote mwenye hofu ya Mungu kuunga mkono matendo maovu , kwa vile tu yanafanywa na Kiongozi fulani , ni wafuasi wa Shetani pekee wanaoweza kuunga mkono unyama huo.
Raila akijua anayoyafanya Magufuli nchini mwake , ya kuruhusu utekaji na kupotea kwa watu , ikiwemo uporaji ulioitwa PLEA BARGAIN (ambao hela zake hazijulikani zilipo , hii ni kwa mujibu wa CAG ) , Wanasiasa kusingiziwa kesi za uongo za Uhujumu uchumi na utakatishaji hela , huku uporaji wa mifugo ya nchi jirani zikiwemo Rwanda na Kenya UKIASISIWA RASMI NCHINI TANZANIA , kukiwa pia na Ukatili ambao haujawahi kuonekana kabla ya HITLER kuzaliwa wa KUCHOMA MOTO VIFARANGA VYA KUKU KUTOKA KENYA VISIVYO NA UGONJWA WOWOTE, Lakini Raila Odinga akatia pamba masikioni akaamua kumuunga mkono Magufuli bila hata aibu hadharani, huku akiahidi kuiongoza Kenya kama Magufuli alivyoongoza Tanzania , Hatimaye Mungu amekataa Wakenya kuteswa kinyama kama Watanzania .
ASANTE MUNGU NA SHUKRANI SANA WAKENYA KWA KUKATAA UDIKTETA NCHI MWENU.
FUNZO : HATA KAMA WATAWALA WATASIMIKA MTU WAO BADO WANANCHI MKISHIKAMANA MNAWEZA KUMKATAA NA AKASHINDWA.
Mungu Ibariki Jamhuri ya watu wa Kenya.
RUTO ni kiongozi kutoka chama kilichopo madarakani, Raila Odinga ni mgombea kutoka chama pinzani.
Mashangilio yako ni kama kushangilia CCM ikishinda uchaguzi hapa Tanzania
Ila ww jamaa, cjui hata chadema imekulisha nini yani sasa upo kama msukule wa chadema.Kila aliyechangamana na Shetani atakataliwa
Tatzo la chadema mna fanya vizuri ndani ya anga za tz lakini siasa za inje ambazo hufanya upinzani ukawa solid hamnaa,mna kurupuka sana kutolea maamuzi katika siasa za inje ambazo mnge pata platform yenye maana ,mnapenda kukurupuka mnoo,malema ana nguvu katika vugu vugu na hii ni moja ya sababu ana jua siasa za inje zinazo mpaa credit mpinzani,ukiwa mpinzani hutakiwi kukurupuka mwanzo una tizama je hili swala kisheria lipoje!!!je ki utuu, lakini pia kisiasa ebu jaribuni kua makini,mna mifumo ya ku kopy na kupest,swala la raila limekaa ovyoo sana ki siasa za wataka haki,mtadharaulika miaka nenda kwa kukurupuka mpe salamu yerick,na kumbusho ,Binadamu tunatakiwa kujifunza na kukumbuka kwamba HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAPO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU
Kilichomkuta Raila Odinga kiwe fundisho kwa Wanadamu wengine waliosalia hapa Duniani , hata kama hawagombei madaraka , haijawahi kutokea binadamu yeyote mwenye hofu ya Mungu kuunga mkono matendo maovu , kwa vile tu yanafanywa na Kiongozi fulani , ni wafuasi wa Shetani pekee wanaoweza kuunga mkono unyama huo.
Raila akijua anayoyafanya Magufuli nchini mwake , ya kuruhusu utekaji na kupotea kwa watu , ikiwemo uporaji ulioitwa PLEA BARGAIN (ambao hela zake hazijulikani zilipo , hii ni kwa mujibu wa CAG ) , Wanasiasa kusingiziwa kesi za uongo za Uhujumu uchumi na utakatishaji hela , huku uporaji wa mifugo ya nchi jirani zikiwemo Rwanda na Kenya UKIASISIWA RASMI NCHINI TANZANIA , kukiwa pia na Ukatili ambao haujawahi kuonekana kabla ya HITLER kuzaliwa wa KUCHOMA MOTO VIFARANGA VYA KUKU KUTOKA KENYA VISIVYO NA UGONJWA WOWOTE, Lakini Raila Odinga akatia pamba masikioni akaamua kumuunga mkono Magufuli bila hata aibu hadharani, huku akiahidi kuiongoza Kenya kama Magufuli alivyoongoza Tanzania , Hatimaye Mungu amekataa Wakenya kuteswa kinyama kama Watanzania .
ASANTE MUNGU NA SHUKRANI SANA WAKENYA KWA KUKATAA UDIKTETA NCHI MWENU.
FUNZO : HATA KAMA WATAWALA WATASIMIKA MTU WAO BADO WANANCHI MKISHIKAMANA MNAWEZA KUMKATAA NA AKASHINDWA.
Mungu Ibariki Jamhuri ya watu wa Kenya.
Hatimaye kwa mara ya kwanza Pinga Pinga Kiranga kaamini Mungu yupo.Raila angeenda kusinzia tu Ikulu.
Lakini, Mungu anasingiziwa tu.
Kinachokuumiza ni nini ?Sema chadema mnapenda kutembelea tu upepo kwa kila tukio hamtaki kupitwa.
Odinga kakosa uchaguzi hii ni mara ya 5 sijui sijui umeanza kuzifatilia siasa za kenya 2022.
Una heshima sana hapa JF sio kila hoja unaanzisha kwa kutegemea kuna wajinga wana kushabikia kwa kila uzi.
Ukweli haufutikiIzi content za kufutwa
Ana miaka 77, halafu washamtoa maji kichwani ni mtu wa kupungiwa saa zote.Kwa nini angeenda kusinzia Ikulu?
Wewe hujui kusoma kwa ufahamu.Hatimaye kwa mara ya kwanza Pinga Pinga Kiranga kaamini Mungu yupo.
YESU NDIYE BWANA NA MWOKOZI KWA KILA KIUMBE HAI DUNIANI [emoji123]
Kuhusu kila channel kua na matokeo yake ilielezwa. Au huna taarifaKenya hamna uchaguzi ile ni comedy, kila kituo cha tv kina matokeo yake na tume ina matokeo yake
Uzi huu unahusu uchaguzi huu ambao matokeo yake yametolewa janaKwani aligombea mara ngapi na kashinda mara ngapi. Vitu vingine siyo lazima umsingizie Magufuli
Kuhusu kila channel kua na matokeo yake ilielezwa. Au huna taarifa
Unataka kusema nn mkuu maana nimemuona bashiru apoamini nakwambia hakukua na uchaguzi pale, na hata tume imegawanyika!