Jinsi lady jaydee anavyochochea bifu za wasanii bongo..

Jinsi lady jaydee anavyochochea bifu za wasanii bongo..

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Kile kipindi ambacho bifu la clouds media group na mwanamuziki lady jaydee lilipopamba moto,ambapo bifu lilikuwa kali kweli kweli,ndipo lady jaydee baada ya kuhisi kuzidiwa na radio hiyo,aliamua kuunda TEAM aliyoipa jina la ANACONDA TEAM au TEAM ANACONDA, Team ambayo haikumuangusha hata alipofanya ile show ya kutimiza miaka kumi na tatu kwenye muziki,ambapo mashabiki au team ya lady jaydee ilionyesha ushirikiano kwa asilimia zote.

Lady jaydee ndiye msanii aliyeanzisha kundi la ushabiki(TEAM),ambapo baadhi ya wasanii huitumia vibaya, nadhani lengo lake halikuwa baya kwani alitumia mbinu hiyo ili kuinua soko lake la muziki.

siku hizi imekuwa kama FASHION, baadhi ya mastaa wakigombana basi kinachofanywa ni kuundwa TEAM ambapo mashabiki wa wasanii hao uingilia kati bifu la wasanii hao na kuanza kuwarushia matusi mazito mitandaoni wapinzani wao.

unakuta bifu linaweza kuwa la kawaida ila mashabiki wanalikuza na kujifanya wenyewe ni team flani na kuanza mshambulizi mitandaoni,mfano juzi ile ishu ya ray na wema kuna mdada mtandaoni ambaye anatumia username TEAMWEMASEPETU alimtukana matusi ya nguoni ray.

yani kwa namna nyingine kanunua bifu,kitu ambacho sio kizuri,hiv karibuni tena baada ya kutokea bifu kati ya johari na mainda baadhi ya mashabiki wa johari wanaojiita TEAMJOHARI walimporomoshea matusi mazito mainda kwenye mtandao wa instragram,vile vile TEAM MAINDA haikuwa nyuma ilirudisha matusi hayo,yani imekuwa bifu la mashabiki wa fulani na fulani sio wasanii hao tena,kitu ambacho sio kizuri kwa wasanii.

kuna baadhi ya wasanii huunda TEAM kwa nia njema tu,mfano feza kessy alipokuwa mjengoni aliunda TEAM FEZA, akiwahimiza mashabiki wake kumpigia kura,something which is good.

salute kwa LADY JAYDEE na TEAM ANACONDA-THE LEADING TEAM IN TOWN
 
Mhhh wewe wewe wewe !!! Kwa hy ni ka ugonjwa kama kipindupindu eee!! Daah kwa hili mtoe dada wa watu.
 
Unaandika poa sn ila nakushauri peleka articles pale kwa bro Erick Shigongo uwa anataka watu km ww...unaijua East Coast Team i don' think so..no hard feelingz ila umemuonea Jide kua heading yako
 
No,its just a writing technique, I do remember east coast team,but it was years ago, speaking of jide recently, she is a one who has started inspiring tz celebrities to call themselves TEAM FULANI,its all because of her, started to call herself TEAM ANACONDA au am wrong bro??, just tell me apart from east coast team those years iv karibun ni nan aliyeanzish team?
 
Back
Top Bottom