Jinsi lugha ya Kilatini ilivyokufa

Jinsi lugha ya Kilatini ilivyokufa

Shida huwa nini hasa? Mbona hata hawa wanaopata bado wanajimix sana huku kitaa ?

Sent from my CAM-L21 using JamiiForums mobile app
Wengi hukatishwa tamaa na ile miaka yao mingi ya kusoma major seminary baada ya kumaliza form six. Philosophy miaka mitatu, theology miwili, hapo kuna sptitual year mwaka mmoja. Hadi kupata upadre ni miaka 7 tena.
 
Utamu wa upadre uliisha pale maaskofu walipoanza kubana mafrater na mapdre kuwa na wafadhiri wa nje. Pia ruzuku ya jimbo kuminywa, padre anaishi kwa uchumi wa parokia aliyopo. Hakuna asiyependa kula bata hata kama kwa modes tofaut duniani. Au kusaidia ndugu na wazazi. Sasa unasoma miaka kibao unaishia maisha magumu. Tusisahau ukisomea sana dini na makando kando yake sana unaelewa kuwa mambo mengi dunian hayako kama yanavyosadikishwa! furaha ndo tunu pekee Mungu katupatia. ukiikosa manake kusudio la uhai kwako halipo. Hata sifa pekee ya kuwa na uelewa wa kipekee ukipitia seminarini kama kujua kiingereza fasaha na kuishi responsibly ( kwa utaratib) imemezwa na shule za kisasa zenye mitaala bora zaid. ndo maana seminary zinapigwa chini matokeo vidato siku hizi.

Pia tusisahau utandawazi na kupungua kwa ushawishi wa dini duniani (sababu Mungu ameshindwa kujidhihiri kumpambania mwanadam kimiujiza kwa dhiki na tabu hizi kias kwamba majibu ya kisayansi yanaonekana ya uhakika zaid kutatua). Kwa hali ya mapadre ilivyo leo na mienenndo yao walio wengi, kanisa katoliki linaelekea kudhalilika sana na zaidi labda waziangalie upya sheria na kanuni za ukasisi hasa kuoa. Siku hizi shetani afisa mwandamizi wa ngono kahamishia majukumu yake kwa kanisa na viongozi wake. Au basi utandawazi umepevuka kuwaweka hadharani mambo yao ya siri.
 
Upadre ni Wito mkuu
Huwezi amini Kati ya 13 tuliohitimu ni wawili tu waliendelea na upadri. Na walishapata daraja takatfu.
upadre ni matokeo ya ufanisi kimasomo seminarin na nidhamu binafs. vyote vikiwa chini ya mwavuli wa NIA YA KUWA KASISI. km hivi ndo wito ..sawa. kinachopunguza wengi ni udhaifu wa standard zao kimasomo, ukosefu wa umakini kwa kila tambo za kinidham, na sera ya siri ya jimbo husika. kuna jimbo linapambana kupunguza finalists kwa sabab mbali mbali ikiwemo uwezo wa kuwatunza. hali hii ufanya jimbo husika kutovumilia error yoyote ya kibinadam. TUSISAHAU HII DUNIA ALITUPWA HUMU SHETAN KAMA MILIKI YAKE BAADA YA VITA KUU MBINGUN KAT YAKE NA MUNGU, KIAS KWAMBA VITU VINGI VITAM DUNIAN VIKO KINYUME NA SHERIA ZA MUNGU WA HUKO MBINGUNI. KANUNI ZA SHETAN ZINAISHIKA KULIKO ZA MUNGU. HATA KAMA NI CHLOROQUIN ILIYOPAKWA SUKARI.
 
utam wa upadre uliisha pale maaskofu walipoanza kubana mafrater na mapdre kuwa na wafadhiri wa nje. pia ruzuku ya jimbo kuminywa, padre anaishi kwa uchumi wa parokia aliyopo. hakuna asiyependa kula bata hata kama kwa modes tofaut dunian. au kusaidia ndugu na wazaz. sasa unasoma miaka kibao unaishia maisha magum. tusisahau ukisomea sana dini na makando kando yake sana unaelewa kuwa mambo mengi dunian hayako kama yanavyosadikishwa! furaha ndo tunu pekee Mungu katupatia. ukiikosa manake kusudio la uhai kwako halipo. hata sifa pekee ya kuwa na uelewa wa kipekee ukipitia seminarin kama kujua kiingereza fasaha na kuishi responsibly ( kwa utaratib) imemezwa na shule za kisasa zenye mitaala bora zaid. ndo maana seminary zinapigwa chini matokeo vidato siku hizi. pia tusisahau utandawazi na kupungua kwa ushawishi wa dini dunian( sabab Mungu ameshindwa kujidhihiri kumpambania mwanadam kimiujiza kwa dhiki na tabu hizi kias kwamba majibu ya kisayansi yanaonekana ya uhakika zaid kutatua). kwa hali ya mapadre ilivyo leo na mienenndo yao walio wengi, kanisa katoliki linaelekea kudhalilika sana na zaidi labda waziangalie upya sheria na kanuni za ukasisi hasa kuoa. siku hizi shetan afsa mwandamizi wa ngono kahamishia majukum yake kwa kanisa na viongoz wake. au bas utandawaz umepevuka kuwaweka hadharan mambo yao ya siri.
Seminary bado shule bora duniani kote na itaendelea kuwa hivyo mpaka Roma itakavyoamua vinginevyo.

Kama unataka kuoa achana na upadri simple huwezi kausha.Kichwa kinawaza ngono ngono tu muda wote.
 
Hii ya kuwakataza jamaa wasioe kiukweli sion kama ina uhalisia.

Kiuhalisia wengi wana wenza huku kitaa ila kwa sababu kiofisi hawaruhusiwi wanaenda kwa kujificha na hawalei watoto wanaozaliwa ambayo ni mbaya zaid.

Wawaruhusu tu kuoa sema wapewe utaratibu mzuri wa kumudu majukum yao.
 
kijijini kwetu kuna wazee wanazungumza kilatini ingawaje awajasoma kabisa elimu dunia
kama unajua kilatin hasa kilivyo usingesema hili. lugha hii hakuna wa kuiongea kama medium ya kuwasiliana isipokuwa unaweza kukariri na kutafsir baadhi ya maneno au sentensi. hao wazee wako wanajua tu kwa kiwango hicho. kumbuka kuna waliokaa/kufanya kazi na mapadre/wamisionari wakajifunza, kuna waliosoma seminari wakatoka wakiwa level mbalimbali hata ushemasi. lakin wa kuongea kama mimi na wewe kiswahili sahau. labda faida ya kilatin ni kukutana na maneno yake mengi katika fani mbalimbali kama sayansi na sheria kwenye lugha nyingine.
 
prejudice! samahan kama ulidhan na underrate seminari au upadre. siwaz ngono ingawa si kitu cha ajabu pia. ila kuna kweli ukiikataa ni sawa na kujificha staili ya mbuni. kwa habari ya elim bora, lugha, nidham/manners n.k , seminari zilishapata mpinzani.... shule za academy. upadre ni ajira kiuhalisia hata ukiita wito kinadharia au kiiman. mwisho kubali tu tuko nyakat ambapo mapadre BAADHI ni majanga ya jamii kuliko hata waumin wao, a disgrace. wana watoto mitaani. vimada wa wazi wazi. walevi kupindukia. kushauri kanisa liangalie namna bora ya ku harmonise hali pale padre akizaa nje na haki za watoto wa Mungu isikupe hasira au kudhan mi ni sexmaniac. na bado usikae mbali kuhusu aibu ya roma unajisi wa watoto. na joto la mapadre wa america kusin kuoa oa. ukweli ndo huo.
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana.....wakati wa kuabudu Sacramenti kuu kuna tune moja ikipigwa kwenye hyo piano...kanisa zima linakuja na utulivu wa aina yake hapo ndo unasikia wakileri kwa sauti nzito wakiachia ngoma "Tantum ergo sacramentum".....mimi nilikuwaga busy tuu hapo kusikiliza huu wimbo na kujaza ubani kwenye chetezo.
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana.....wakati wa kuabudu Sacramenti kuu kuna tune moja ikipigwa kwenye hyo piano...kanisa zima linakuja na utulivu wa aina yake hapo ndo unasikia wakileri kwa sauti nzito wakiachia ngoma "Tantum ergo sacramentum".....mimi nilikuwaga busy tuu hapo kusikiliza huu wimbo na kujaza ubani kwenye chetezo.
Benediction! zoez ni simply ushirikina wa kiyahudi. sijui kitu gani kilitupata tukauacha ushirikina wetu! lakin bora huu mpya hakuna kufitiniana, kuchonganishana na kafara za binadam mwenzako kutolewa roho/dam. niliogopa sana kujua hadi leo tz yetu kuna kabila akifa mfalme wa koo anazikwa amesimama na nyongeza ya mtoto akiwa hai.
 
Benediction! zoez ni simply ushirikina wa kiyahudi. sijui kitu gani kilitupata tukauacha ushirikina wetu! lakin bora huu mpya hakuna kufitiniana, kuchonganishana na kafara za binadam mwenzako kutolewa roho/dam. niliogopa sana kujua hadi leo tz yetu kuna kabila akifa mfalme wa koo anazikwa amesimama na nyongeza ya mtoto akiwa hai.
Mimi nimerudia za kwetu...hizo za wayaudi na warumi zimenishinda....zile mbaya sizifwati...ila nzuri.
 
Back
Top Bottom