Jinsi lugha ya Kilatini ilivyokufa

Orare et Laborare hii ilikua motto ya sehemu flani niliyokuwepo enzi hizo....
 
Pole kwa Msiba wa Lugha Latino!!
Bora kiarabu chetu tukilinde na kukitunza ili kiswahili kiweze Survivu!!
Bado lugha ya kiarabu tunakienzi....
Kwa heshima na taadhima tashrifa Karibu !!
 
Mkuu nakufatilia 😁🤣🙏 ila inaonekana ulihujumiwa Sana seminarini mpaka kukoseshwa wito. Ila sahivi Kama huna Imani kabisa.
siku hizi kumwambia mtu *unamfuatilia* ni kumfanya afute akaunti ya jf, google, postal address na nida na tin. atupe sim na pc na line. ! bas sema walau unafuatilia posts zangu tu! majesuit hamnaga rangi nyie😁
 
Dum vivimus, vivamus! (While we live, let us live!)
 
Pole kwa Msiba wa Lugha Latino!!
Bora kiarabu chetu tukilinde na kukitunza ili kiswahili kiweze Survivu!!
Bado lugha ya kiarabu tunakienzi....
Kwa heshima na taadhima tashrifa Karibu !!
kama si uwepo wa neno *SHIKAMOO*, waarab walituletea lugha nzuri na rahis kujifunza. wapenz wa kuelewa kuliko kukariri tunasubiri kwa hamu harakat za kiswahili kuwa katika mitaala ya masomo yote! hofu yangu ni tutalazimika kuazima maneno mengi kias gani kutoka lugha za wabunifu wa nje. nahis lugha yetu iko kwa matumizi ya kidiplomasia bado., bora tuboreshe tu kiingereza kuanzia chekechea,
 

Attachments

  • nelsonmandela1-2x.jpg
    66.9 KB · Views: 2
Marahabaa.... Karibu !! Tafadhali
.
SAMAHANI.. AHSSANTE.. SHUKRANI..... KIARABU KITAZIDI KUZAA NA KUAZIMA MSAMIATI NA MANENO YENYE MAANA KTK KUIPAMBA KISWAHILI.... SAFARI BADO NDEFU.... ASILI HAIOZI!!
 
Mkuu usinitibue,kukashifu Ibada kwa Sakramenti kuu,hiyo ni kufuru isiyovumilika
 
Mkuu usinitibue,kukashifu Ibada kwa Sakramenti kuu,hiyo ni kufuru isiyovumilika
naomba unisamehe kama nimekukwaza kiimani. najua fika imani za kimapokeo zina nguvu sana (extremism). nitaendelea kujielewesha tena na tena kuwa iman (faith) na rationality do not necessarily go concurrent! nimepitiwa ndugu! (samahan kwa udhaifu wa lugha pia. kuna wakati kiswahili kinakosa neno kusudiwa hasa kwa haraka).

“Apologizing does not always mean you're wrong and the other person is right. It just means you value your relationship more than your ego.”​


― Mark Matthews
 
Sawa mkuu,Japo umenichanganyia lugha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…