Jinsi Maafisa Uhamiaji walivyopiga Tsh Bilioni 2.42

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
CFB04280-2F6C-4E18-A7D4-70942699A8FC.jpeg

Hii nchi Tamu sana inapigwa Left and Right , Top and Bottom
 
Huo ndio ufisadi uliotokomezwa,swali Kwa wanaumoja party ⛷️
Mbona mnakuwa wavivu kufikiria, nani alikuambia wizi uliisha???? Mbona sasa hivi mnataka mpandishiwe bei ya umeme kiwizi wizi. Dkt Magufuli alishughulikia mifumo mmoja mmoja, leo hii madini tuna faidi
 
Kwenye ya mpigania haki za "wanyonge". Aliyejifanya mkali kama pilipili kumbe ukali wa kuvuta upigaji. Magufuli afe x100000000000000
Msimlaumu jiwe

Haya mambo yapo na yataendelea

Kuwepo nchi hii

Mbongo hata umbane vp bado tu atapiga

Uwiz,umetujaaa

Ova
 
Mbona mnakuwa wavivu kufikiria, nani alikuambia wizi uliisha???? Mbona sasa hivi mnataka mpandishiwe bei ya umeme kiwizi wizi. Dkt Magufuli alishughulikia mifumo mmoja mmoja, leo hii madini tuna faidi
Tunafaidi kivipi wakat juzi Ruby yenye thaman kubwa sana kutoka Tz ilikuwa inapigwa mnada uarabuni?
 
Mbona mnakuwa wavivu kufikiria, nani alikuambia wizi uliisha???? Mbona sasa hivi mnataka mpandishiwe bei ya umeme kiwizi wizi. Dkt Magufuli alishughulikia mifumo mmoja mmoja, leo hii madini tuna faidi
Ndivyo mlivyotaka kutudanganya,mmewadanganya na wenzangu na mie benderafata upepo,mpaka kesho watakuambua malaika alitenda🤔
 
D

DNA test,upigaji positive 🤸
Yaani sisi kwetu upigaji hauchagui dini wala rangi wala kabila wala elimu wala umri wala jinsia wala eneo wala undugu wala chochote. Yaani sisi uaminifu ni 0. Usione watu wanajitetea ni basi tu hawajapata nafasi. Ila wakipata nafasi ya kupiga lazima wapige. Kwani Nasema uongo ndugu zang?
 
Mbona mnakuwa wavivu kufikiria, nani alikuambia wizi uliisha???? Mbona sasa hivi mnataka mpandishiwe bei ya umeme kiwizi wizi. Dkt Magufuli alishughulikia mifumo mmoja mmoja, leo hii madini tuna faidi
Hivi umesoma wizi wa madini ya Tanzanite mirerani ? Pamoja na kuweka ule ukuta mkuubwaa?
 
Back
Top Bottom