Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Yaweza kuwa unasema uongo🤔Yaani sisi kwetu upigaji hauchagui dini wala rangi wala kabila wala elimu wala umri wala jinsia wala eneo wala undugu wala chochote. Yaani sisi uaminifu ni 0. Usione watu wanajitetea ni basi tu hawajapata nafasi. Ila wakipata nafasi ya kupiga lazima wapige. Kwani Nasema uongo ndugu zang?