Mtamba wa Panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 764
- 1,892
Zingatia matukio matatu yafuatayo:
1) Tarehe 21/9/2024 (Jumamosi)
Muda: 08:30 pm
Tukio: Young Africans (TZ) vs CBE (Ethiopia)
Competition: 2024-25 CAF Champions League
2) Tarehe 22/9/2024 (Jumapili)
Muda: 04:00 pm
Tukio: Simba SC (TZ) vs Al Ahli Tripoli (Libya)
Competition: 2024-25 CAF Confederation Cup
3) Tarehe 23/9/2024 (Jumatatu)
Tukio: Maandamano ya CHADEMA
Haihitaji PhD au Masters kujua yafuatayo yatatokea:
a) Kwenye tukio namba 1 hapo juu, Yanga atashinda goli kadhaa na atapita, mama atatoa Tsh 5,000,000/= kila goli na Wananchi watakabidhiwa mzigo wao mbele ya Waandishi wa Habari, Watu watazungumzia pesa za mama.
b) Kwenye tukio namba 2 hapo juu, Tajiri wa Simba SC pamoja na viongozi wakubwa kadhaa wa Serikali watakuwepo jukwaani (Possibly mama pia) kuisapoti Simba mechi ikionekana Live Tanzania nzima. Simba SC atashinda mechi na baada ya mechi Mama/kiongozi mkubwa atakabidhi kitita cha goli za Simba SC (Tsh 5,000,000 kila goli). Mfadhili na kiongozi watazungumza kuhusu kupinga maandamano na kusisitiza amani nchini.
c) Tarehe 23/9/2024 (siku ya maandamano) watanzania watakuwa wanazungumzia/wanabishana kuhusu timu ipi imechukua pesa nyingi zaidi za Mama.
Mwisho wa siku HAKUNA MAANDAMANO..
Soma Pia: Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea
Bila shaka waliopanga maandamano ya CHADEMA ni walikosa kutumia akili nyingi maana hawakuliona hili. Yaani kwa kifupi hawaijui vizuri Intelligensia ya nchi hii.
Moto wa maandamano ulitakiwa uwe siku hizi hizi kabla ya Ijumaa, pengine hapo probability ya kufanikiwa ingekuwa juu.
Kweli akili ni nywele, kila mtu ana za kwake..