the palace
JF-Expert Member
- Jan 11, 2018
- 340
- 1,025
Mpaka mseme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawako seriousWanaopanga na kuonyesha sapoti ya maandamano ni wengine ila wanaotarajiwa kuandamana ni wengine na hilo ndio tatizo, ikiwa kweli hawa hawa mashabiki wa yanga na simba ndio huonyesha kutaka kuandamana iweje tena hizo mechi iwe kikwazo?
Ninyi watu wa ajabu sana! Watu wakiamua Polisi ni dhaifu haiwezi kuzuia chochote. Mfano mzuri NgorongoroRPC na Msime watatoa biti Moja matata na alfajiri na mapema ya sep 23 karandinga zinasambaa mtaani na kwenye ofisi za chadomo.
Ni kisago tu ukijifanya kiherehere
Yani kama utatizama muamko wa maandamano kupitia mitandaoni basi utasema kabisa maandamano lazima yafanyike ila kumbe hali haipo hivyo kwa wale walengwa wenyewe wa kufanya hayo maandamano huko mtaani, hapo ndipo zinakuja hoja uoga mara sijui watanzania wanapumbazwa na simba na yanga.Hawako serious
Yaani CHADEMA hanuna ma master mind mtoa mada kachambua vizuri sanaUmesahau mshahara kwa watumishi.