Wanaopanga na kuonyesha sapoti ya maandamano ni wengine ila wanaotarajiwa kuandamana ni wengine na hilo ndio tatizo, ikiwa kweli hawa hawa mashabiki wa yanga na simba ndio huonyesha kutaka kuandamana iweje tena hizo mechi iwe kikwazo?

Yani kama utatizama muamko wa maandamano kupitia mitandaoni basi utasema kabisa maandamano lazima yafanyike ila kumbe hali haipo hivyo kwa wale walengwa wenyewe wa kufanya hayo maandamano huko mtaani, hapo ndipo zinakuja hoja uoga mara sijui watanzania wanapumbazwa na simba na yanga.