Jinsi madalali wanavyonufaika masokoni

Sasa koroshow tu imebadi atafutwe Dalali ndo itakuwa wewe ndugu yangu..??? Vipi alienunua huo mchele akauza 2000 kwa kilo????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa 1.8 ndo pesa gani hiyo hadi uone wananufaika??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa koroshow tu imebadi atafutwe Dalali ndo itakuwa wewe ndugu yangu..??? Vipi alienunua huo mchele akauza 2000 kwa kilo????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unataka kufanya biashara fine fanya biashara sio udalali. Tena udalali wa mtu kaleta mzigo unamwambia huu hata kwa 1500 hauuziki. Ila kwakuwa unatoka mbali ntakupa 1700 we ugeuze mi nihangaike nao.

Wakati unayasema hayo huku unajua kuna wateja hadi wa 1800 na 1900. Is this ethical? Ama kwenye udalali hakunaga ethics?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ndiye DALALI
Mtu kati mwenye cash anayepokea mzigo kwa muuzaji na kuusambaza kwa wahusika
SIFA YAKE hana Leseni, halipi Kodi yoyote labda Ushuru na upakuaji wamzigo usambazaji na ulinzi, huwa wanakuwa na kaofisi na kastore basi.
mfano hiyo 1,800,000/ hajaichukua yote kwani gharama za kubeba /kushusha / kuuhifadhi na kuusambaza ni zakehuenda akabaki na 800,000/ tu
mf kibega GUNIA wanakula 50/ bado akusanye kwa mkopo hizo 32m lazima inamkata
MFANYABIASHARA mwenye leseni Kodi nk hafanyi kazi ya kushusha au kutafuta wateja na hachukui gunia zaidi ya 40
 
Literally speaking, unamaana hata killing one person to serve the rest is ethical hata kama mahakama haijatoa hukumu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nina maana kwamba nyakati nyingine katika maisha inabidi tukubali kupata hasara ya muda mfupi ili kujihakikishia faida ya muda mrefu.
Nikimaanisha kwamba Muuza mchele ilimpasa kuuza huo mchele kwa muda mfupi ili kupunguza gharama za Guest House na nyinginezo ili kuwahi mzigo mwingine, inawezekana kabisa kuna mzigo mwingine mkubwa zaidi ambao ameishalipia alichofanya ni kuwa na maamuzi ya haraka
Hawa Madalali huwa wanaambiza na kushirikiana inawezekana jamaa alishausoma mchezo. Unaweza kukaa unalialia kama una bidhaa kama Hardware, Gari, Pikipiki au Spares lakini kwa hizi bidhaa zetu za kilimo ni ngumu sana inabidi uwe decisive
Kwa mfano huo mchele ungelala kungekuwa na storage costs, na yeye gharama za Guests, kula na kadhaalika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakadiria kwa siku tatu angetumia costs za ile 1.8m aloipata dalali? Lets do cost-benefit analysis. Tusizungumzie costs peke yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kila biashara ina ujanja ujanja unashindwa kuongea ukweli kuwa ndugu yako mbugilaa alipigwa mjini na wajanja unalaumu madalali, kwa logic yako huwezi Fanya biashara yoyote coz unaonesha wewe na ndugu yako mnaingizwa mjini kirahisi sana
 
Unakadiria kwa siku tatu angetumia costs za ile 1.8m aloipata dalali? Lets do cost-benefit analysis. Tusizungumzie costs peke yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa angalia post zilizofuatia hapo kapiga mahesabu kaonyesha karibu 0.8m hizo ni za mzigo tuu na wanamfanyia dalali kwa sababu wanajuana jamaa angeingia mwenyewe wangempiga 1.0m au hata 1.2m hapo bado gharama zake mwenyewe kama Guest na Airtime. Sisemi hivi kuwatetea Madalali laa nasema hivi kutetea uamuzi alioufanya mwenye Mchele
Iliwahi nitokea mwaka 2002 Dodoma nilikuwa nauza gari 2.5m ambayo niliinunua Dar kama mwaka 1 uliyopita kwa 3.0m Wakaja madalali wa Dodoma wakaleta wateja,kila mteja anaekuja amesimama kwenye 2.0m Ikawa Mji mzima wamesimama kwa hiyo 2.0m na bahati mbaya 90% ya madalali wote walikuwa kabila moja (silitaji)
Nilivumilia na lile gari zaidi ya miezi 4 nikapata mteja kwa 2.75m ambaye alitoka Dar kuifuata gari Dodoma

Kwa gari ilikuwa rahisi ku resists bei za kukomoana kama ile lakini jaribu kufikiria kama ningekuwa na Mchele halafu pale Dodoma mimi ni mgeni ingekuwaje ??


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ethics gani sasa...????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ujanjaa tuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani ungerudi kula na familia yakoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkulima mpaka kauza bei hiyo ujue imemlipa acha ROHO mbaya
 
Sokoni wapo watu wanakomaa na mizigo na wanapata bei nzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu ngoja niwe msomaji tu hapa, maana nikisema....[emoji25]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…