Nina maana kwamba nyakati nyingine katika maisha inabidi tukubali kupata hasara ya muda mfupi ili kujihakikishia faida ya muda mrefu.
Nikimaanisha kwamba Muuza mchele ilimpasa kuuza huo mchele kwa muda mfupi ili kupunguza gharama za Guest House na nyinginezo ili kuwahi mzigo mwingine, inawezekana kabisa kuna mzigo mwingine mkubwa zaidi ambao ameishalipia alichofanya ni kuwa na maamuzi ya haraka
Hawa Madalali huwa wanaambiza na kushirikiana inawezekana jamaa alishausoma mchezo. Unaweza kukaa unalialia kama una bidhaa kama Hardware, Gari, Pikipiki au Spares lakini kwa hizi bidhaa zetu za kilimo ni ngumu sana inabidi uwe decisive
Kwa mfano huo mchele ungelala kungekuwa na storage costs, na yeye gharama za Guests, kula na kadhaalika
Sent using
Jamii Forums mobile app