Jinsi madevu mabaya yanavyomkosesha Messi tuzo ya mchezaji bora

Endelea kujitia moyo hivyohivyo...Messi anapiga kazi.....anacheza mpira wa akili sana, anafunga katika mazingira magumu.....
 

ebu tuone picha yko ww unayenyoaga ndevu....uckute huna ata vimalaika wala vipele vya ndevu....Kwakawaida alietunga ule msemo wa ni "Tajir kuingia kwny ufalme wa mungu ni sawa na ngamia kupenya kwny tundu la sindano" alikua ni Maskini
 
Mtoa Mada you have two parts of Brain....Left and Right....in the Left there is Nothing right and on the right there is nothing left!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Messi tokea afuge ndevu amekuwa na magoli mengi angalia MSN msimu uliopita idadi ya magoli ya messi angalia msimu huu moto wake


Kinachomuangusha messi ni timu yake Barca kwenye michuano ya uefa na ile nguvu yao ya kiungo imeshakufa na real saizi wana wabunifu kibao

Ndevu labda umeweka utani wako tu ukiangalia takwimu messi yupo juu ila kiwango kibovu Cha Barca uefa ndio kina mcost ,na kama wangempata coutinho pasi na shaka wasingekamatika barca

Hata angesuka nywele na kunyoa ndevu zote huku barca uefa wanatolewa ballon dor isingemhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…