Jinsi madevu mabaya yanavyomkosesha Messi tuzo ya mchezaji bora

Jinsi madevu mabaya yanavyomkosesha Messi tuzo ya mchezaji bora

7f58fcb4365bf4b8cc158aa7405fbe16.jpg
 
Ukiona mtu anaanza kufuga midevu mingi huwa kuna mapungufu yanamkabili na hiyo huwa ni njia ya kuficha udhaifu huo.Mf.mtu akipungukiwa na kujiamini utaona anafuga midevu sana,ili awakumbushe watu kuwa yeye ni kidume,ama akipungukiwa na nguvu za kiume lazima afuge midevu kwa kusudi hilo la kujaribu kumshawishi mwanamke kuwa ye ni mwanaume bora kuliko wasio na ndevu.Wanaume wengi wanaona ndevu ni ishara ya ubabe.

ebu tuone picha yko ww unayenyoaga ndevu....uckute huna ata vimalaika wala vipele vya ndevu....Kwakawaida alietunga ule msemo wa ni "Tajir kuingia kwny ufalme wa mungu ni sawa na ngamia kupenya kwny tundu la sindano" alikua ni Maskini
 
Mtoa Mada you have two parts of Brain....Left and Right....in the Left there is Nothing right and on the right there is nothing left!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Messi tokea afuge ndevu amekuwa na magoli mengi angalia MSN msimu uliopita idadi ya magoli ya messi angalia msimu huu moto wake


Kinachomuangusha messi ni timu yake Barca kwenye michuano ya uefa na ile nguvu yao ya kiungo imeshakufa na real saizi wana wabunifu kibao

Ndevu labda umeweka utani wako tu ukiangalia takwimu messi yupo juu ila kiwango kibovu Cha Barca uefa ndio kina mcost ,na kama wangempata coutinho pasi na shaka wasingekamatika barca

Hata angesuka nywele na kunyoa ndevu zote huku barca uefa wanatolewa ballon dor isingemhusu
 
Back
Top Bottom