Jinsi madevu mabaya yanavyomkosesha Messi tuzo ya mchezaji bora

Huyo Andunje labda apewe ngazi ndo ataweza kuzifikia hizo tuzo zilikohifadhiwa.
 
ebu tuone picha yko ww unayenyoaga ndevu....uckute huna ata vimalaika wala vipele vya ndevu....Kwakawaida alietunga ule msemo wa ni "Tajir kuingia kwny ufalme wa mungu ni sawa na ngamia kupenya kwny tundu la sindano" alikua ni Maskini
Uzuri kama we we mwenyewe unafuga ndevu,jibu unalo juu ya hofu uliyonayo kuhusu udhaifu unaokuandama.Ndio maana watu wenye ndevu huwa na hasira na ubabe sana.Hiyo ni kuficha udhaifu walionao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Kwenye midevu wanakuja
 

Unamatatizo kichwani au unachuki na watu wenye ndevu zao kinacho angaliwa ni uwezo wake uwanjani na sio muonekano
Elewa kuwa nddvu ni kitambulisho halisi
Cha mwanaume kama hauna sio lazima
kuzitafuta kwa mganga wa kienyeji.
 
Sijaona bado wakumkaribia The King Messi,,,katika wachezaji waliopita na wa sasa pia.

Salute kwako Mchawi wa soka,,,nitapata kuwasimulia wanangu,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…