Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #61
Thread ya kipumbavu hiii yaani kweli kuuza sura kwenye tuzo ww alili yako ya soka finyu wala sio big brother kule ww kija a[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]Kiukweli kwa miaka ya karibuni unapozungumzia Tuzo ya mchezaji bora wa dunia , ni kama moja kwa moja unamzungumzia Christiano Ronaldo pekee , Lionel Messi ni kama msindikizaji tu .
Ikumbukwe kwamba washindi wa tuzo hii hupigiwa kura ( niko tayari kusahihishwa ) , hivyo ukiacha umahiri wa kisoka , Muonekano wa mchezaji husika unao mchango mkubwa sana katika kushinda tuzo hii.
Tangu Lionel Messi aanze kufuga midevu isiyo na mpangilio , mithili ya mpiga gitar wa Rock N Roll ni kama ametengwa na wapenzi wa soka , hana mvuto tena hata kama anaisaidia Barcelona au Argentina .
Ronaldo mchezaji bora 2017Thread ya kipumbavu hiii yaani kweli kuuza sura kwenye tuzo ww alili yako ya soka finyu wala sio big brother kule ww kija a[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]
Aisee !!!![emoji116] [emoji116]
Ngoja niifanyie kazi hiiWachezaji wengi walianza kufuga ndevu baada ya viwango vyao kuanza kuporomoka kama vile Thienry Henry,Nicholaus Anelka,David Bekham n.k
Hivyo kuna athari fulani kimtazamo
Hata usifanyie kaziNgoja niifanyie kazi hii
Je Madevu mabaya hayachangii kukosa tuzo ?Hata usifanyie kazi
Magoli mengi 2017 anaongoza messi 50 goals wa pili cavabi 45
Assist anaongoza messi
Kutengeneza nafasi anaongoza messi
Dribble anaongoza messi akifuatia neymar wa tatu kaachwa gap kubwa saaaaana
Kwa takwimu hizi wacha aendelee kufuga
Na Rooney...Wachezaji wengi walianza kufuga ndevu baada ya viwango vyao kuanza kuporomoka kama vile Thienry Henry,Nicholaus Anelka,David Bekham n.k
Hivyo kuna athari fulani kimtazamo
Mtoa Mada you have two parts of Brain....Left and Right....in the Left there is Nothing right and on the right there is nothing left!
Magoli mengi na hizo assist na dribbles akavuna ndevu...!!Hata usifanyie kazi
Magoli mengi 2017 anaongoza messi 50 goals wa pili cavabi 45
Assist anaongoza messi
Kutengeneza nafasi anaongoza messi
Dribble anaongoza messi akifuatia neymar wa tatu kaachwa gap kubwa saaaaana
Kwa takwimu hizi wacha aendelee kufuga
Cheka tena .ππππ dah nimecheka sanaa aiseee
Hii umesoma kwenye kitabu gani ?Subirini from now Ballon zitakavyotiririka kwa mwenye kuujua mpira/Leo Messi...this season wameamua tu kumpa/kumsaidia ili asipate aibu.
Hii umesoma kwenye kitabu gani ?
Mkuu unajua hizi tuzo wanaangalia mafanikio binafsi na ya timu nzima.mostly wanaangalia mtu binafsi alivyo leta mafanikio kwa timu...messi wangempa tuzo kwa kuchukua kombe gani kubwa??Mimi ndie kitabu..wameona wamsaidie tu kwa namna moja ama nyingine ili alingane na KING...lkn ukitenda haki ballon ilikuwa ni ya Messi kabisa. So wameona aibu jamaa ata retire na ballon 4 ikawa aibu kwake...so hapo katikati kuna kitu kimefanyika sio bure
Mkuu unajua hizi tuzo wanaangalia mafanikio binafsi na ya timu nzima.mostly wanaangalia mtu binafsi alivyo leta mafanikio kwa timu...messi wangempa tuzo kwa kuchukua kombe gani kubwa??
Ronaldo alibebe uefa pia la liga anastahili,tuache ushabiki bhana.