Jinsi madevu mabaya yanavyomkosesha Messi tuzo ya mchezaji bora

Jinsi madevu mabaya yanavyomkosesha Messi tuzo ya mchezaji bora

Kiukweli kwa miaka ya karibuni unapozungumzia Tuzo ya mchezaji bora wa dunia , ni kama moja kwa moja unamzungumzia Christiano Ronaldo pekee , Lionel Messi ni kama msindikizaji tu .

Ikumbukwe kwamba washindi wa tuzo hii hupigiwa kura ( niko tayari kusahihishwa ) , hivyo ukiacha umahiri wa kisoka , Muonekano wa mchezaji husika unao mchango mkubwa sana katika kushinda tuzo hii.

Tangu Lionel Messi aanze kufuga midevu isiyo na mpangilio , mithili ya mpiga gitar wa Rock N Roll ni kama ametengwa na wapenzi wa soka , hana mvuto tena hata kama anaisaidia Barcelona au Argentina .
Thread ya kipumbavu hiii yaani kweli kuuza sura kwenye tuzo ww alili yako ya soka finyu wala sio big brother kule ww kija a[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]
 
[emoji116] [emoji116]
686b0aac257b64d398cf9b21408ceb6d.jpg
Aisee !!!!
 
Wachezaji wengi walianza kufuga ndevu baada ya viwango vyao kuanza kuporomoka kama vile Thienry Henry,Nicholaus Anelka,David Bekham n.k

Hivyo kuna athari fulani kimtazamo
Ngoja niifanyie kazi hii
 
Ngoja niifanyie kazi hii
Hata usifanyie kazi

Magoli mengi 2017 anaongoza messi 50 goals wa pili cavabi 45

Assist anaongoza messi
Kutengeneza nafasi anaongoza messi

Dribble anaongoza messi akifuatia neymar wa tatu kaachwa gap kubwa saaaaana

Kwa takwimu hizi wacha aendelee kufuga

47588e65899c73deade890d6d022bc23.jpg
 
Je Madevu mabaya hayachangii kukosa tuzo ?
 
Wachezaji wengi walianza kufuga ndevu baada ya viwango vyao kuanza kuporomoka kama vile Thienry Henry,Nicholaus Anelka,David Bekham n.k

Hivyo kuna athari fulani kimtazamo
Na Rooney...
 
Hata usifanyie kazi

Magoli mengi 2017 anaongoza messi 50 goals wa pili cavabi 45

Assist anaongoza messi
Kutengeneza nafasi anaongoza messi

Dribble anaongoza messi akifuatia neymar wa tatu kaachwa gap kubwa saaaaana

Kwa takwimu hizi wacha aendelee kufuga

47588e65899c73deade890d6d022bc23.jpg
Magoli mengi na hizo assist na dribbles akavuna ndevu...!!
 
Subirini from now Ballon zitakavyotiririka kwa mwenye kuujua mpira/Leo Messi...this season wameamua tu kumpa/kumsaidia ili asipate aibu.
 
Tangu Lionel Messi aanze kufuga midevu isiyo na mpangilio , mithili ya mpiga gitar wa Rock N Roll ni kama ametengwa na wapenzi wa soka , hana mvuto tena hata kama anaisaidia Barcelona au Argentina .[/QUOTE]

Mkuu erythrocyte muombe radhi mfalme huyu. Unabeba dhambi aise
 
Mimi ndie kitabu..wameona wamsaidie tu kwa namna moja ama nyingine ili alingane na KING...lkn ukitenda haki ballon ilikuwa ni ya Messi kabisa. So wameona aibu jamaa ata retire na ballon 4 ikawa aibu kwake...so hapo katikati kuna kitu kimefanyika sio bure
Mkuu unajua hizi tuzo wanaangalia mafanikio binafsi na ya timu nzima.mostly wanaangalia mtu binafsi alivyo leta mafanikio kwa timu...messi wangempa tuzo kwa kuchukua kombe gani kubwa??
Ronaldo alibebe uefa pia la liga anastahili,tuache ushabiki bhana.
 
Sawa Mkuu.
 
Back
Top Bottom