Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Kuanzia miaka 14 hadi 18 anachezeana na wanafunzi wenzake huko hajui lolote kuhusu shule yeye ni kuoga na kupunguza skirts zake tu, mrembo wa shule, kichwani bila bila yaani tupu ( utupu ) anadhani alizaliwa vizuri zaidi ya WENGINE. Akitongozwa anaeleweka tu hata na yeyote.
Kuanzia miaka 18 hadi 24
Anataka boyfriend handsome Mwenye pesa, gari, kazi nzuri na mwenye mavazi ya kila aina au maarufu anawakataa wanaume wengi na kuwabeza anajiona yuko kwenye ubora na anaweza kutembea mpaka na mzungu.
Anabadilisha badilisha wanaume NA kuwasaliti wengine, hawana pesa, hawana hadhi ya kuwa naye na haoni aibu kuwatemea mate. Hawezi kutembea na mbeba mizigo ataaibika.
Kuanzia miaka 25 hadi 30
Utasikia nataka mwanaume yeyote atakaye nipenda na kunijali, anajiegesha baa mara mitandaoni kuchukuliwa na yoyote tu ilimradi atapewa kidogo na kulishwa, kunywa bia anatumika na kuachwa asubuhi.
Bahati mbaya hajajitokeza wa kumuoa kwa sababu rika lake wameshaoa wote au wameshamzoea kwa matukio.
Wanajitokeza tu waume za WATU wanatembea naye tu na kumsaidia matumizi kidogo.
Kuanzia miaka 30 hadi 35
Utasikia mwanaume ni mwanaume haridhiki, hakuna mwanaume wa peke yako, ilimradi apatikane tu.
SWALI LA KUJIULIZA JE HAWA WANAWAKE WOTE AMBAO HAWAJAOLEWA (BAADHI YAO, SIO WOTE) JE HAWAJAWAHI KUTONGOZWA ?
JIBU NI HAPANA
HUENDA WAMEKUJA WENGI ALIPOKUWA KWENYE WAKATI SAHIHI LAKINI KWA SABABU YA TAMAA ALIPISHANA NA GARI YA MSHAHARA
Expert Dating Advice
top fans