INTROVERT MAN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 993
- 1,343
Ebony ingekuwa dar aiseee ingekuwa ni habari nyingineEfm iko km TBC sio stereo kabisa yaan wako chini kwenye ubora Wa usikiko wamepigwa chini hata na Ebony FM ya iringa pale
Agreed!Edo kumwembe hafiti pote iwe tv au redio
Ningeandika mimi ningeanza kuulizwa umri wanguEfm iko km TBC sio stereo kabisa yaan wako chini kwenye ubora Wa usikiko wamepigwa chini hata na Ebony FM ya iringa pale
Agreed!
Anafit kote.Hivi mtu kama Salim Kikeke kwenye redio na appearance yake kwenye tv unamweka wapi?
Acha dharau mkuu na kutoa kasoro za kimaumbile kwa wengine.Kwamba ile sura na mdomo kama Lilian Mwasha atangaze kipindi cha Tv ahahahaha!
domo la dozen liko upande
Hiiii we jamaa vipi kama wanabaguliwa kuanzia vyuoni kwao mimi nani nipinge?Acha dharau mkuu na kutoa kasoro za kimaumbile kwa wengine.
Edo kumwembe hafiti pote iwe tv au redio
[emoji2][emoji56]B dozen atagombana na Lulu
Kwanini?.B dozen atagombana na Lulu
Koho koho koho jeeeshiiB dozen atagombana na Lulu
Kumbe mlijua siku nyingiB dozen atagombana na Lulu