Jinsi Majizzo atakavyomtumia B Dozen

Jinsi Majizzo atakavyomtumia B Dozen

Hivi mtu kama Salim Kikeke kwenye redio na appearance yake kwenye tv unamweka wapi?
Anafit kote.
sauti ya Kikeke ni nzuri kwa kifupi inanoga, kwenye TV anafanya vile vinavyopaswa kufanywa mfano utani, mbwembwe za hapa na pale hata wahuni 7:19 inatuambia vijana tumtazame Kikeke ila sio Jeny John wa TBC
 
Acha dharau mkuu na kutoa kasoro za kimaumbile kwa wengine.
Hiiii we jamaa vipi kama wanabaguliwa kuanzia vyuoni kwao mimi nani nipinge?
.
sura kama ya Lilian Mwasha inafaa vipindi anavyovifanya viewers wake 98% ni matured enough
Dozen anafanya vipindi vya watu wasiozidi miaka 28 kwa ile sura ai utataka kipindi kikose viewers na. Viewers ndio pesa yenyewe.
 
Huu uzi umegeuzwa na aliyeugeuza ni bwana fudenge aliyeuliza swali kwamba B Dozen atagombana na Lulu, haya kumekucha..
 
Back
Top Bottom