Jinsi Majizzo atakavyomtumia B Dozen

Jinsi Majizzo atakavyomtumia B Dozen

Na kwenye tv si yupo?
Yes yupo.
maswali
1. Anatangaza vipindi gani?
2. Viewers ni wanamna gani?
3. Na vinaenda kwa muda gani?
.
mtu kama Dozen umuweke kwenye kipindi cha Tv kinacholenga vijana wa 16-25 kinachoenda kwa masaa mawili utakuwa unafanya biashara au unapoteza biashara?
 
Mtafute Aloyce Sazia Mapembe wa ITV, Shadee Weris wa Clouds, Mahija Zayumba wa clouds, Aaliya wa wasafi, Elizabeth Mramba wa TBC, Alpha Wawa wa TBC, Tony Albert wa EATV linganisha na watangazaji wako
Samahani chief, how old are you ?
 
B12 akiungana na Kuvichaka kwenye ladha 360, kipindi kikaongezewa muda inaweza kuwa idea nzuri, tena kipewe segment ya ishu za kibongo bongo na muziki wa wabana Pua asimame Dozen na segment ya Hiphop na Muziki wa duniani asimame Jabir
 
Yes yupo.
maswali
1. Anatangaza vipindi gani?
2. Viewers ni wanamna gani?
3. Na vinaenda kwa muda gani?
.
mtu kama Dozen umuweke kwenye kipindi cha Tv kinacholenga vijana wa 16-25 kinachoenda kwa masaa mawili utakuwa unafanya biashara au unapoteza biashara?
Mimi naona anaweza na anafaa sana tu.
 
Nimejaribu kutaja naowakumbuka haraka haraka, Queen Fifi ni wa EA radio.
.
Sam Sasali ana sura ya Radio ila hana sauti ya Radio do you get me?
Mkuu unajibizana na watu ambao hawajui taaluma ya uandishi na utangazaji na wapo blind minded na utimu , utakesha boss
 
.
By Sangu Joseph
.
Ebwana ni siku nyingine tena, natimiza ahadi niliyoitoa kwenye Andiko langu lililopita () juu ya maoni yangu namna ambavyo Boss Majizzo huenda akaitumia silaha yake mpya ndani ya EFM na TV- E.

Kabla sijaenda ukiangalia kwa sasa EFM wako Transition period, kuna kundi fulani la mashabiki ambao kwa sasa wamelilenga baada ya lile kundi la Mtaa kuliteka, kiufupi wanalikuza Soko lao.

Kama huamini kasikilize interview ya Kwanza Boss Majizzo alipohojiwa na Bro SkyTanzania alipohojiwa kuhusu kumsajili Jonijo alisema EFM ni ya Waswahili na Waswahili kuna mahali wameifikisha Radio yetu sasa tunataka pale wakipotufikisha twende mbele zaidi.

So kutokea hapo Mimi binafsi nilijua Mswahili Majizzo yuko kwenye Transition period ya kulisaka soko jipya, ndiyo maana unaona mtu kama BDozen anasajiliwa akakidhi viwango vipya ambavyo Waswahili hawa wanataka kuvifikia, kwa mawazo nadhani sio Dozen tu kuna wengine wako njiani wanaokuja kikubwa ni nyakati na subira na kama walichokipanga kitatimia.

Mfano mwingine wa kujua wako kwenye kulisaka soko jipya (Transition Period) ni kuanzishwa kwa kipindi kama #HomaTVE hichi kipindi ukikitazama kiundani kwa muonekano, uwekezaji, aina ya Mtangazaji ni kimelenga watu fulani, wale waswahili wenzake atakutana nao kwenye #MzikiMnene, #ShikaNdinga, #NjeNdani.
.
Turudi kwenye hoja sasa Kwa kua tumekubali EFM na TV - E wako kwenye mabadiliko (Transition Period), sasa huenda yakaenda na mabadiliko ya Program (Ninavyowaza Mimi BDozen huenda akawa Mkuu wa Entertainment pia akapewa kipindi cha masaa 2 au matatu, na akapewa kipindi TV - E)
.
Utaniuliza yaani Sangu iweje BDozen apewe kipindi Efm kwenye muda upi? , maana kote kote kuna watu, Mimi nadhani ataongezwa kwenye #Ladha3600 ya Broh Seleh Jabir na kile kipindi kitaongezwa masaa walau mawili halafu wale wanetu wa #Genge SamioLove na Fido wenyewe watasogezwa mbele ili Mkubwa Twangalla #DozenAmetua atoe tiba ya burudani, lakini pia nadhani Twangalla huenda akapewa kipindi chake pale TV - E kama anavyofanyaga kwenye Dozen Selection.
.
(NB Haya ni mawazo yangu juu watakavyomtumia Twangalla, si uhalisia so Inaweza ikatokea au isitokee)

Andiko hii itakua kwenye YouTube ya Brain Ujazo kesho Jumatatu, Swipe kuona makala ya Mwanzo.

Nicheki Instagram : FB : Twit : SanguJoseph
.
.
#KijanaMzalendo #IloveTZ
Naona ume bet
 
Wanao msikiliza John Pazia kama mimi gonga like. Ndio mtangazaji wangu bora! Na redio yangu pendwa.
 
Mkuu unajibizana na watu ambao hawajui taaluma ya uandishi na utangazaji na wapo blind minded na utimu , utakesha boss
Kazi ipo wanahisi kila mtu anaweza kutangaza kwenye Tv.
tuna George Ambangile ana sauti nzuri sana kushinda presenter yeyote wa soka ila hana muonekano wa TV
 
Edo kumwembe hafiti pote iwe tv au redio
Kazi ipo wanahisi kila mtu anaweza kutangaza kwenye Tv.
tuna George Ambangile ana sauti nzuri sana kushinda presenter yeyote wa soka ila hana muonekano wa TV
 
Back
Top Bottom