Jinsi mapenzi yalivyofanya ufalme wa Egypt/Mizraim kuanguka na kusambaratika

John Joba umepotelea wapi pal?? Long time no see you
Psychological issues na family problems ndiyo vitu pekee vilivyonifanya nikae kidogo mbali na JF pamoja na interaction nyingine. Hili nitumie muda mwingi kujisoma vizuri na kujitafakari mimi mwenyewe.
Very soon tutajumuhika wote kushare what we have mate.

Best of Luck mate Da'Vinci
Thank you.
 
Pole sana mkuu kwa unayo/uliyopitia nakutakia mema tujumuike pamoja jamvini.
Kama utaona kuna kitu unaeeza kushea nami don't hesitate pal just hit my pm anytime.
Best of Luck mate Da'Vinci
Thank you.
Ahsante, and you too mate. Heri iwe kwako
 
Wenda ata wao walikuwa hawajui mto unaanzia wap
 
Kweli kwa wasomi na elimu zao kuabudu sanamu ni ujinga wa hali ya juu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚eti samia ni mzuri
 
Pongezi kwa kuweka avatar yako og asee ile ilikuwa haiendani kbs naww mto mada
 
Cleopatra alikuwa Mdada wa kiafrica kabisaaa!! na picha ziko Vatican mpaka leo! kwa sababu wamisri hawakutaka kutawaliwa na Weupe! pia weupe (wagiriki}walikuwa ni watu wakujifungia tuuu muda wote!

kifupi hawakujua kuongea kimisri! ..na marufuku kuwafunza watoto wao! sababu ya ubaguzi wao, soo! akazuka huyo mdada mweusi cleopatra wakamtumia!

N akipindi cha alexander wagiriki walioa waafrica wakiamini watazaa watoto wenye akili nyingi ili wakajenge mapyramidi km yalee ya misri!

mika hiyo wazungu walikuwa wanakimbilia Misri kuchota maarifa Aristotle, archemedes, Dalton nk wooote hao walisomea Masri ya kale! mpaka leo wazungu wako paleee!

waarabu hao wa africa kaskazini, na Misri ya leo ni machotara wa kigiriki na waafrica! hawana lolote hao! ila hawatutaki wanajiona wao wazungu lkn pia wazungu hawa wataki!

picha yake iko Vatican mpaka leo!......ukienda utamuona hata Maria ni mweusi tiiiii
 
Na baada ya miaka mia mbili ijayo wafuatao wataandikwa kwenye Library za ulaya kuwa km walikuwa wazungu nao ni kama ifutavyo orodha ni ndefu;

Julius Nyerere!- (wameanza kuchombeza kumuita Mtakatifu!)

Mkwame nkrumah!

Nelson Mandela!
Winnie Mandela!

Martini luther King!

Michael Jackson (kabisaaa huyu walimbadilisha mapema tu hata leo!)

Murtala Muhamad!

Haile Selasie!

Marcus Galvey!

Marcom x!

Jakaya Mrisho kikwete! ...(ulishike hili weye rafiki yangu nakwambia!)

Mariam Nguabi!

Kenethy Kaunda!

King Moshoe shoe! wa kwanza!... ( ni mifano mizuri sana Milki za kifalme pekee zilizo dumu Africa kwa miaka mingi mpaka leo!)

Tata Nyarusare ruya!... ana tikisa wazungu mpaka leo!

mengine ongezeeni jamani naenda kunywa maji...........
 
Hon Dr John Joseph Pombe MAGUFULI
 
Umeandika historia za biblia ambazo zimejaa uongo na upotoshaji kuhusu mtu mweusi.

Kuelezea Misiri ya kale bila kutaja Kemeti ni ubatiri.
 
Wasomi wa siku hizi hawajui huo ukweli. Wamekalilishwa na elimu za wakoloni zinazo fifiza ukuu wa mtu mweusi. Wakatoliki wa vatican na waislam ndiyo wapotoshaji wakubwa na vitabu vyao ni vya mchongo.

Haiwezekani pythogras awe mgunduzi wa hesabu ya pembetatu a.k.a Trignometry wakati wenzao weusi washatumia hizo hesabu kujenga pyramids.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…