Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
Mzee kausha
Huu mfumo una mizizi chini kabisa. Mkuu kuna mambo ukipata kuyajua yatakushangaza mkuu sema kuyasema tunachelea maisha yetu. Huyo uliyemweka hapa ni tapeli mdogo. Kuna matapeli hapa wana connection katika mifumo yote ya usalama wanapga foreigners na baada ya hapo aliyepgwa haruhusiwi kukanyaga nchini 😃