Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
Huu mfumo una mizizi chini kabisa. Mkuu kuna mambo ukipata kuyajua yatakushangaza mkuu sema kuyasema tunachelea maisha yetu. Huyo uliyemweka hapa ni tapeli mdogo. Kuna matapeli hapa wana connection katika mifumo yote ya usalama wanapga foreigners na baada ya hapo aliyepgwa haruhusiwi kukanyaga nchini π
Mkimshika mpigeni kiberiti itakuwa fundisho kwa matapeli wengi wote.Kumekuwa na kasumba kuwa kesi nyingi zikifika polisi na mtuhumiwa akapelekwa mahakamani basi walalamikaji wanakosekana na mtuhumiwa kuachiwa huru.
Lakini tujiulize je ni kweli sheria inaamua haki? Kama polisi walithibitisha kweli mtuhumiwa ameletwa na raia na ametapeli kweli kwanini kusiwe na mifumo ya kumfunga mhusika kwani raia hatwendi mahakamani kwa kuogopa usumbufu usio na faida.
Na hii inapelekea matapeli wengi kurudi mtaani na kuendelea na kazi.
Pia polisi wenyewe wanachukulia kesi ni mtaji, wao ndio wanakuwa madalali wa mazungumzo pande zote 2 hasa kwa tapeli wakiamini wakimsaidia kumtoa watapata chichote kitu.
View attachment 2738522
huyu ni mmoja wa matapeli ambaye ana historia ya kukamatwa na kuachiwa kwa kuhonga.
πHuu mfumo una mizizi chini kabisa. Mkuu kuna mambo ukipata kuyajua yatakushangaza mkuu sema kuyasema tunachelea maisha yetu. Huyo uliyemweka hapa ni tapeli mdogo. Kuna matapeli hapa wana connection katika mifumo yote ya usalama wanapga foreigners na baada ya hapo aliyepgwa haruhusiwi kukanyaga nchini π