Jinsi mchina alivyowatapeli maelfu ya wa Kenya dollar million 10 na kuwatukana kwenye crypto currency

Jinsi mchina alivyowatapeli maelfu ya wa Kenya dollar million 10 na kuwatukana kwenye crypto currency

Wajinga hawawezi kuisha....huwa nawaonea huruma sana vijana tena wa kimasikin ambao wanaliwa hela zao kwenye haya makamali ya wachina ..alaf wachina wenyew wanaishi a very luxury life. Nilishawshi kuwajuta sehem za starehe
 
IMG-20220625-WA0028.jpg
 
Kuna mzungu mmoja alinifata inbox telegramakawa ananishawishi niingie uko aah wee nilimtolea shit akafuta na account yake ya telegram😁
Mzuka wanajamvi!

Ukiitwa kwenye fursa juwa wee mwenyewe ndio fursa.

"Bado naendesha Ferrari yangu na baadhi yenu hamuwezi hata kununua chakula." Iyo ndio ilikuwa ujumbe wa mwisho wa mwanzilishi wa Crypto currency alivyoandika kwenye group la telegram baada ya kuwatapeli shilingi billion moja za Kenya sawa na dollars million 10.

Bitstream Circle iliyoanzishwa na tapeli mkenya na mchina ilianza kuleta sintofaham ambapo wawekezaji walikuwa wengi wakenya kila wakijaribu kutoa hela zao ilikuwa ikicheleweshwa.

Kampuni iyo ya Bitstream Circle iliyoahidi wawekezaji watakaowekeza hela zao kwenye crypto currency watapata faida asilimia 10 hadi 15 kwa siku. Na ilianza kuonekana mtandaoni kwaanzia December 7 2021.

Iliweza kupata followers elfu 10 kwa muda mfupi kwenye telegram page. Na waliojiunga wakatakiwa kuwekeza kwaanzia dolla 20.

Kila kitu kilienda vizuri hadi march 13 mwaka huu ambapo users walianza kuona ucheleweshaji walipotaka kutoa hela zao.

Hao matapeli walipoulizwa shida ipo wapi wakawa wanadanganya wanaupgrade system. Na kuupgrade system ilikuwsa ikichukua Zaid ya masaa matano.

Ilipofika March 14 habari mbaya ikawafikia wawekezaji. Ujumbe wa matusi dhihaka na kejeli wakatumiwa wawekezaji. Yani hii iliniuma sana. Unatapeli watu na kuwatukana.

“You are a bunch of brainless races, see you on our next plan,” an administrator of the page posted to the 10,914 investors.

“Bye, haha. I am living a luxurious life with your dollars. If you have invited friends, wait to be killed by your recommenders. Idiots. There will be a time to meet.”

Soma zaidi kwa kiingereza kwenye page ya kwanza.

Source dailynation
 
Wazee wakudanlodi naona graph zinashuka tu🤣

View attachment 2271681
Uzuri wa hii kitu hata graph ikishuka una 'make' kwa ku'sell' ikipanda una 'buy', utamu wa ngoma ingia ucheze mwenyewe. Hawa ambao anakuja mtu anawaambia u'invest' USD 100 afu upate 10,000 after one week huwa nawaona brainless Kabisa, na hawajui chochote kuhusu trading.
Trading inatakiwa ujifunze mwenyewe na utrade wewe mwenyewe, nje na hapo ni kupigwa tu.
 
kwa sasa hivi ujinga wako ndio chanzo cha utajiri wa wengine:

Ujinga wa utajiri na mafanikio ya haraka: una amini kwenye kuvuna pesa za haraka haraka, kwa kuwekeza kwenye vikundi vya watu, kama deci, namaingo, sijui kukufarm, sijui nani nani living, fedha za mtandaoni.

Wengine kila kukicha wanashinda kwenye makanisa ya mitume na manabii wakisaka miujiza ya utajirisho😂🤣
wengine kila siku wako kwenye kubeti!

#Mchina huyo na apewe tuzo ya nobel
 
Kuna nyingine inaitwa GL/GIFT OF LEGACY!!! Jihadhariii

Kuna nyingine sikumbuki inaitwaje kama deci tu unapewa link unajiunga then unaweka cash yako…kazi yako kubwa ni ku like matangazo wanayokutumia kila siku…so kama umewekeza 3M utatumiwa matangazo kama mia hv,inatakiwa uya like yote then jioni dola 50 inaingia unaenda kuitoa.usipo like matangazo cash haiingii siku hiyo!
 
WARNING: sasahivi kuna hawa wa namba inayoanzia na +92 wanawatext au kuwacall watu na wapo vizuri sana katika ushawishi....OGOPA SANA

Hiyo ni code namba ya Pakistan na inatumiwa na matapeli wa kimataifa
 
Back
Top Bottom