ASANTE KWA MAONI YAKO, NAOMBA KURA YAKOKusimamia Vyuo Vinavyotoa Elimu kwa "Angalau D Nne: yote hayo yapo chini ya NACTEVET kama huna ufahamu sana
Nami alikwambia ufaulu wa A ndo mtu anakuwa mtaalamu mzuri?unatibiwa na CO ana D ya biology Math ana F
Diploma kwa afya wanatakiwa waiweke katika mazingira ambayo hata wenye div one wa olevel wanaeza isoma ili kupata wataalam wa afya wenye tija
lakini currently hali hairidhishi instead wanabeba hawa wenye D na F ππΎ
Wizara ina Profesa makini sana hope ataliangalia na hili ππΎππΎππΎ
una uhakika?Nami alikwambia ufaulu wa A ndo mtu anakuwa mtaalamu mzuri?
Hizi division one unazoziona ni za kisiasa tu lakini vichwani wanafunzi hawana kitu ni empty headed.
Mtu aliyepata division 4 kwa kutumia maarifa na akili yake pasipo kufaulishwa na wanasiasa ni bora zaidi kwenye utaalamu kuliko unayemuona ana ufaulu wa division one ya mchongo.
Hizi mindset ifikie mahali tuachane nazo.
Mitaala ipi kabadilisha? Na unahisi ina tija?kama ameweza badili mitaala ya masomo msingi
sidhani kama hili litamshinda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata moderators wa humu wengi wana D MBILI.
Natania bwana π₯±π₯±π₯±π₯±
yes inatija kwa kiasi chakeMitaala ipi kabadilisha? Na unahisi ina tija?
Ngoja nitafatilia.yes inatija kwa kiasi chake
Fatilia
Ni kweli pengine hizo A au B hazipimi uwezo WA mtu lakin upatikanaji wake unakupa tafsiri ya mwajiriwa kwenye kipengele Cha CHA KUJITUMA. Hasa unapozungumzia sekta ya afya, na hata uongozi, unapopeleka mtu ana D NNE sidhani kama inaleta tija labda tuzidi kuoneana huruma, ili wote Tule keki ya taifaNami alikwambia ufaulu wa A ndo mtu anakuwa mtaalamu mzuri?
Hizi division one unazoziona ni za kisiasa tu lakini vichwani wanafunzi hawana kitu ni empty headed.
Mtu aliyepata division 4 kwa kutumia maarifa na akili yake pasipo kufaulishwa na wanasiasa ni bora zaidi kwenye utaalamu kuliko unayemuona ana ufaulu wa division one ya mchongo.
Hizi mindset ifikie mahali tuachane nazo.
ππ Happo kwenye afya au Mimi ndo sijuiKong xin cai elimu ni process inayotupa mtu ambae ni productive kwenye taaluma yake.
Kama mtu amepata D nne akafundishwa ufundi hata wa kutengeneza mageti au kushona nguo, tatizo ni nini?
Lakini pia kwa mjibu wa mamlaka zinazo simamia vyuo hakuna chuo kinatoa taaluma ya Afya(Mtu kuja kua mhudumu wa afya) kwa entry qualification za D nne tu.
Hakuna chuo hicho. Labda ukitaje kimojawapo mkuu ili nifatilie hiyo miujiza.ππ Happo kwenye afya au Mimi ndo sijui
Eb fatilia hivi vyuo vya kati
Wapo walionielewa, kutaja chuo sio jambo zuriHakuna chuo hicho. Labda ukitaje kimojawapo mkuu ili nifatilie hiyo miujiza.
Ila kama ni vyuo vya udreva, ushonaji na labda uchongaji wa furniture it's ok just
Asante sanaHongera
Kwa afya, hakuna chuo hicho mkuu.Wapo walionielewa, kutaja chuo sio jambo zuri